Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

Mkuu return of investment na faida juu haiwezi kuwa attained in millseconds, it defies all laws of Adam Smith "father of economics" nisieleweke vibaya cha muhimu hapa ni watu kuwa makini tu.

Yaani nikishaona mtu katika biashara zetu za kawaida anaingiza mawazo ya kina Adam Smith, Mara sijui return of investment, accounting rate of return na mengine kama hayo, huyo hata umpe 1,000,000,000 afanye biashara kesho yake tu anafilisika. Na kawaida watu hao wengi unawakuta ana MBA au amesomea "masomo ya biashara", anadhani biashara ni vitabu, kibongobongo wanaotoboa katika biashara hata Adam Smith hamjui wala Hana mpango wa kumjua milele! Muuzlie S.H. Amon kama anamjua Adam Smith!
 
mkuu hapo ndiyo bussiness as usual, tatizo ni soko na ndiyo maana hawataki kupasua kichwa sana , hichi kilimo kinafaa sana sehemu yenye mahotel ya kitalii , lakini kwa sisi wengi wetu tunatumia kwa matumizi ya nyumbani , bora kulima vitunguu . na ni vema wakasoma masoko ya sehemu husika kuliko kuwajengea tu , yaani ni vema kutoa smina ya biashara na kilimo
 
Mkuu kabla ya ujenzi inafanyika soil analysis na water analysis kupitia maabara ili kujua virutubisho vilivyopo na kama kuna infection yoyote.

Unaweza kufanya Green House Kiluvya. karibu sana.

Mkuu nipo iringa, labda nijiulize, mimi eneo langu halipo tambarare, lina mteremko kidogo, pia nimejenga fensi ya ukuta eneo la ndani ni mita 9 kwa 18 je litafaa?
 

Nisamehe ndugu natumia simu nashindwa kukupa haki yako ya like. Ila nimependa sana ushauri wako.
 
umenena vyema.
 
Najibu la pili ndo linanihusu: Ukishajengewa mara moja ni basi. Unaweza kuitumia Green House hiyo hiyo kila mwaka kati ya miaka 5hadi 10.

Mkuu vipi kuhusu janga la upepo? Hii makitu siyo kwamba inaweza kuvulumishwa na upepo halafu 5m ndo inateketea hivyo? Au mna utaratibu wa bima? Na hiyo picha uliyotuwekea hapo ni greenhouse za Tz au za Ulaya mkuu umeiweka tu ili kutuvuta?

Wazo ni zuri nimelipenda, usije nishawishi ka-plot kangu ka 20m x 40m nikakageuza mradi kwa kujenga greenhouses za kutosha! Ila sijui kama mipango miji wanaweza kuruhusu hii kitu ifanyike katikati ya mji?
 
Mkuu, hii si kitu kipya. Wenzetu wakenya walianza toka miaka ya 90'S. Arusha kuna Green House nyingi za maua. Mwanza kuna Green House ambazo baadhi ya Supermarket wananunua toka huko. Unaweza kutembelea Green House zote hizi ili uone na kuamini.

Kwamba kuna green house wala halina ubishi.... nazijua sana pengine kuliko wewe. Mimi niko kwenye namna ''ulivyopaisha'' mapato yake vs bei unayouza. Utafikiria rocket ya kwenda mwezini!
 
hyo inawafaa nyie wa mjini mnaotaka kulima kwenye lami,kw cc wakulima haitufai kabisa.embu fikiri eneo 5*8m utazalisha nn?nahapo lazima uwe na systm ya croprotation ukilima nyanya then kitungu.embu niambie kwenye kitungu kwa eneo hlo utapata gunia2 ukiuza 50alfu utapata laki kw miez4,kwenye nyanya ukipanda mbegu eden utapata debe30 na c zaidi ukiuza kwa alfu20 kwadebe utapata laki6 hapo umekula miezi 4 hadi 5 ukijumlisha nahyo yakitungu unamiezi 9 mwaka umeisha umepata laki8.ukipanda mbegu ana utapata cyo zaididebe 50 ukiuza kwa ishrni alfu utapata milion ukijumlisha nakitunguu una milion laki2.hyo ndyo hesabu zako za greenhause otherwise niambie unatumia mbegu gani ili nipate kipato kikubwa kwa eneo ndogo kiac hicho.sbb 5milion nikiamua kulima nyany nawezakulima eka3 yanyanya nakm nikitungu nikijibana nalima eka3 nakapata return kubwa tu.
 

Kwa Mwanza mnapatikana wapi?
 
Kwamba kuna green house wala halina ubishi.... nazijua sana pengine kuliko wewe. Mimi niko kwenye namna ''ulivyopaisha'' mapato yake vs bei unayouza. Utafikiria rocket ya kwenda mwezini!

aise mm nakataa bei yake nikubwa mno haifanani kabisa na eneo lenyewe,embu fikiri eneo km hlo utapavuna nn?5milion nikubwa unaweza ukalima eka3 ya nyanya nakm nikitungu ukajibana unaweza ukalima eka3 pia nakm ukienda nch kavu unaweza ukalima eka 25 ya mahndi naukapata magunia 400 hadi 500.ukienda kwnye ufuta alizeti maharage unaweza ukalima zaidi yaeka30 naukapata return kubwa tu.anyway niseseme sna kuna watu inawafaa nahao wapo mjini nawanalimia kwnye lami cc wamikoani tunyamaze kimya.
 
hi ki2 kwavile mzungu analima gorofani na sisi pia tunaka kulima gorofani bila sbb yakujua kwnn analima gorofani.wenzetu ulaya wanatumia greenhause sbb ya ufinyo wamaeneo je na sisi wenye maeneo namapori yanalala tu tuanze kujinyima kwenye ka green hause.poa lakini nisijenamharibia mshkaji dili yake
 

sababu ya kutumia greenhouse siyo ufinyu wa ardhi, lengo ni kuwa na control ya hali ya hewa, wadudu na magonjwa..usiishi kwa kukariri!!
 
"Milioni tano tu" ni ndogo kimatamshi ila kwa watanzania wa kawaida ambao ndio wengi hii ni ndoto....

Hivi jamani, hao watanzania wa kawaida ndo wapi?

Nauliza kwa sababu siku hizi chochote kile utasikia ..watanzania wa kawaida....anayekula rushwa..anayeiba kodi..who ever is doing anything or nothing..anajificha kwenye mgongo wa 'watanzania wa kawaida'. TANESCO, DAWASCO..nk wakisema lipa kiasi fulani cha gharama upewe umeme..utasikia watanzania wa kawaida hawawezi hizo bei..sasa jamani..unataka hizo huduma upewe bure? Hata kama serikali ingetoa ruzuku..bado..hayo mashirika kusudi ya survive..lazima yatoe huduma bora..na huduma bora lazima zilipiwe. Jamani tufike sehemu tukubali..maendeleo ni mtu mwenyewe. Sasa ulitaka hiyo green house ujengewe bure? au ulitaka wacharge bei gani? Everything has a cost. Ukiangalia huo mchanganuo..its fair kabisa..in a sense kwamba hata anayefanya hiyo kazi anataka apate faida japo kidogo na yeye aweze kuendesha maisha yake.

Utasikia..bei zimepanda..itaathiri watanzania wa kawaida...Anything done....hata iwe na good intention kivipi..we simply become negative..je hao watanzania wa kawaida wataacha kuwa wa kawaida lini? All in all..watanzania tuache kiswahili kirefu na kukata tamaa. We should be ready to take responsbilities kwa maisha yetu. Kipimo cha utu ni vile vile..kushiriki kufanya maamuzi makini...mfano unapopewa fursa ya kupiga kura..unaichukuliaje? unachagua viongozi kwa vigezo vipi?...Tafadhali fahamu kwamba maisha hayana dezo. Popote pale. Kwa hiyo..wewe ukiona kila siku ni mtanzania wa kawaida..tafakari..chukua hatua.


The biggest challenge of WE Tanzanians ni kufikiria kwamba..somebody else (whether serikali au raia wengine) will think and act on our behalf...ufanye ujinga....take poor choices or decisions...utegemee wengine watakuonea huruma... That will never happen until Jesus (for those who believe in this man) comes back. Ndo maana utakuta hata mtaani barabara mbovu.....watu wanakaa wanasubiri serikali..yaani hata kujimobilize..wafukie mashimo..wapi...ukiangalia mtaa umejaa maghorofa..nje ya geti..ni uchafu na mashimo..lakini kuona raia wanachukua hatua madhubuti kuweka sawa mambo..ni ngumu. Mimi sijui hii tabia ya kuwa tegemezi na kutaka kuonewa huruma tutaiacha lini. ..ndo maana jamii zetu zimejaa rushwa, uzembe....na mkato mkato...kwa sababu VERY FEW BELIEVE that hard work and honesty pays. Mpaka watoto wetu siku hizi tunawafundisha ujinga tuu..baaba anaiba...anajenga majengo kibao..maviwanja kibao...kisa..unajua nina watoto....To me thats wrong..simply because..hatuwafundishi watoto kutafuta maisha kwa nguvu zao.....we have become a society of greedy..we want to own everything.....maisha na future zetu havina security...ndo maana tunaiba na kumiliki hata vile tusivovihitaji...mzee una mashamba ya kufa mtu huko sijui wapi..leo umestaafu..una ghorofa kubwa masaki..hardly you can use one room wewe na mkeo..hayo mashamba huwezi hata kwenda kuyaangalia tena...Its very sad..jamii tunaijenga kwa kizazi cha leo na kesho sijui itafanikiwa vipi..... We cherish mediocrity. Simply put........ We know the price of everything. We know the value of nothing!

Its a bad culture. We ought to stop it.

Masanja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…