Ibambasi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2007
- 9,296
- 4,697
Mkuu return of investment na faida juu haiwezi kuwa attained in millseconds, it defies all laws of Adam Smith "father of economics" nisieleweke vibaya cha muhimu hapa ni watu kuwa makini tu.
Yaani nikishaona mtu katika biashara zetu za kawaida anaingiza mawazo ya kina Adam Smith, Mara sijui return of investment, accounting rate of return na mengine kama hayo, huyo hata umpe 1,000,000,000 afanye biashara kesho yake tu anafilisika. Na kawaida watu hao wengi unawakuta ana MBA au amesomea "masomo ya biashara", anadhani biashara ni vitabu, kibongobongo wanaotoboa katika biashara hata Adam Smith hamjui wala Hana mpango wa kumjua milele! Muuzlie S.H. Amon kama anamjua Adam Smith!