Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

wazo nzuri sana, ila mtawasaidiaje vijana wasiokuwa na ajira kuweza kufanya hiyo shughuli, na ukizingatia mil 5 tayari ni tatizo kwao ili waweze kujikomboa na aza ya kukusanyika kwa nafasi chache za ajira?


Asante Mkuu. Kinachoendelea hapa ni kushare Technology kwa wale walio na uwezo. Serikali inawajibika kwa suala la uwezeshaji wa watu wake kupitia sera zake na vitengo vyake. Tungekuwa na uwezo huo tungeweza kusaidia. Moyo tunao.
 
Yaani nikishaona mtu katika biashara zetu za kawaida anaingiza mawazo ya kina Adam Smith, Mara sijui return of investment, accounting rate of return na mengine kama hayo, huyo hata umpe 1,000,000,000 afanye biashara kesho yake tu anafilisika. Na kawaida watu hao wengi unawakuta ana MBA au amesomea "masomo ya biashara", anadhani biashara ni vitabu, kibongobongo wanaotoboa katika biashara hata Adam Smith hamjui wala Hana mpango wa kumjua milele! Muuzlie S.H. Amon kama anamjua Adam Smith!


Ni jambo jema kutambua kuwa mafanikio ya mtu yoyote hayategemei usomi wake, wala ujuzi nk. Mafanikio yanategemea ATTITUDE. Na Attitude ni mitazamo ya watu na inatofautiana. Jambo lolote unaweza ukaliangalia katika mtazamo hasi au chanya. The choce is yours!

Asante sana kwa mchango!
 
Ni jambo jema kutambua kuwa mafanikio ya mtu yoyote hayategemei usomi wake, wala ujuzi nk. Mafanikio yanategemea ATTITUDE. Na Attitude ni mitazamo ya watu na inatofautiana. Jambo lolote unaweza ukaliangalia katika mtazamo hasi au chanya. The choce is yours!

Asante sana kwa mchango!

TAHADHARI USIDANGANYWE KIRAHISI NA HAWA WATU WANAO PROMOTE KILIMO CHA GREENHOUSE UTAFILISIKA!!!!!!


Tahadhari sana wa JF. Ukweli ni kwamba watu wanao-promote kilimo cha aina hii wanafanya hivyo ili kupata faida, bila kuwaambia watu ukweli kwamba kilimo hiki si rahisi kama wanavyofikiria. Kilimo hiki kinawezekana maeneo ya baridi, lakini sehemu za joto kama hapa Dar utakuwa unatengeneza oven ya kupikia mazao uliyopanda badala ya greenhouse ya kufanya upate mazao mengi!!!

Watu huko Uganda wameshalizwa sana na hili suala la kilimo cha greenhouse. Usidanganywe!!! Kwanza, ili greenhouse yeyote ifanikiwe inatakiwa kiwango kikubwa cha ku-control joto, hata kutumia compyuta. Je wewe utaweza?

Kwa taarifa zaidi, soma makala hii hapa chini, na hakikisha unawatahadhalisha wengine.

Dont be Fooled!!! What you need to know before you invest in greenhouse

True, there is money in greenhouse farming. But it is not easy money, as the aggressive promoters of greenhouse technology would want farmers to believe.

To get the picture, look at abandoned greenhouse structures scattered around Kampala and neighbouring districts like Wakiso and Mukono. The owners are frustrated farmers who invested millions expecting quick returns, only to lose it all.

False promises
Lured by the high returns projected by fast-talking promoters masquerading as greenhouse technology experts, many aspiring farmers, especially the young corporate class, took bank loans, drew their savings, or liquidated fixed assets to invest in a greenhouse.

You cannot blame them for being gullible. The returns on investment projected by the greenhouse promoters are simply irresistible. One lady was assured of 400 per cent in profits within half a year. She invested Shs10m expecting Shs40m in six months. But instead she lost an entire crop of tomatoes to a wilt disease at the flowering stage.

The people who supplied the greenhouse structure and equipment, kept suggesting different chemical combinations, which the desperate farmer had to buy from them. She faithfully applied the chemicals but the tomatoes continued wilting as if they had been planted in a sauna.

Get knowledge
Finally, the truth hit her in the face like a basket of rotten tomatoes. The so-called greenhouse experts were actually gamblers, who were just using her as a guinea pig.


In greenhouse farming, like any other farming enterprise, knowledge is power. But most farmers only want to know how much it will cost and how soon they will recover their money.


The right people to ask would be fellow farmers, who are already into greenhouse production. There are a few successful greenhouse farmers in Uganda. Visit them. There are many in Kenya, who can be visited through organised tours.

For those with internet access, there is a lot of information available. You can have virtual tours of greenhouse projects in Asia and other parts of the world, which have similar climatic conditions as Uganda.

From them, you learn about the opportunities and challenges in greenhouse farming. Some offer short courses in greenhouse management and other vital practical skills.

Besides inadequate knowledge, lack of commitment is another reason why many greenhouses in Uganda fail. Many Ugandans engaged in greenhouse farming have full-time jobs elsewhere. The day-to-day management is left to workers, whose competence and commitment are questionable.


Conditions in a greenhouse are constantly changing so the need for close monitoring. Plant growth is determined by the controlled conditions inside the greenhouse. Temperatures and humidity have to be kept constant around the clock. A greenhouse can easily overheat in the hot sun, leading to total disaster.

In technically more advanced countries like Israel, conditions are regulated with the help of computers. However in Uganda and most African countries, this still has to be done manually. In such a situation, monitoring the greenhouse on phone or visiting for a few hours over weekend cannot work.

YOU HAVE BEEN WARNED!!!!
 
There is a doubting Thomas for everything on earth. Ningependa kukukaribisha kwangu shambani eneo la Nairobi ukaone production ya kila wiki kisha upate imani. 20tons in a year with proper management and with following agronomy instructions is quite conservative.

That is the whole point. Kufanikiwa kwa greenhouse Nairobi hakumaanishi itafanikiwa hapa Dar au Kimbiji huko. Labda unapaswa uka-promote hiki kitu huko Nairobi na sio kuwadanganya watu wa Dar kwba watapata tani 20 sijui kama ulivyopata wewe Nairobi.
 
KWA NINI UWE MASKINI?

JE, UNGEPENDA KUVUNA NYANYA NYINGI KILA WIKI NA KUJIPATA KIPATO KIKUBWA KUPITIA KILIMO CHA GREEN HOUSE?

View attachment 165705


Team ya “AMKA NA BADILIKA” ya CONSNET GROUP ikishirikiana na wataalamu wa GREEN HOUSE katika maeneo ya joto AFFORDABLE GREENHOUSE kutoka Kenya wanapenda kukujulisha kuwa unaweza kujengewa GREEN HOUSE ya ukubwa wa Mita 8 kwa Mita 15 na kupanda mazao upendayo ya bustani kama Nyanya; Pilipili Hoho; Vitunguu; Bilinganya; Vitunguu; Matango nk ambayo yanaweza kukupatia zaidi ya tani zaidi ya 20 kwa Mwaka na kukuingizia kipato kikubwa.

Kujengewa GREEN HOUSE moja ya 8M X 15 M (Kutumia mirunda na mbao za dawa) ni TZS 5.0 Millions Tu na unajengewa katika kipindi cha wiki 2 pamoja na kupandiwa mazao. Pesa hiyo inahusisha mbegu za kisasa, mbolea, madawa, kupima udongo na maji maabara, tank la lita 1000, drip irrigation system, na mafunzo na kujengewa.

Kwa sasa zipo “KITS” za kutosha za Green House. Kama utapenda kujengewa Green House na bajeti iko tayari, tafadhali wasiliana nasi kupitia namba: +255 755 285 023
Ndugu zangu watanzania naomba nitoe tahadhali kuhusu uanzishwaji wa greenhouse hasa haya yanayotangazwa kibiashara kabla ya kufanya uamuzi wa kuyanunua nawaomba mpate ushauri kutoka kwa wataalam wa kilimo. kuna mambo ya msingi sana yanatakiwa yazingatiwe emissivity na transmissivity ya cladding/greenhouse cover ni muhimu sana wafanyabiashara wengi wamekuwa wakidanganya hivyo kupunguza efficiency ya greenhouse yenyewe. pia greenouse inategemea na location uliyopo, hali ya hewa na availability ya resources. mimi ni mtaalam wa kilimo ambaye kwa sasa nasomea greenhouse hort nchini uholanz be careful my people.
Agric pays Do it.
 
mkuu hapo ndiyo bussiness as usual, tatizo ni soko na ndiyo maana hawataki kupasua kichwa sana , hichi kilimo kinafaa sana sehemu yenye mahotel ya kitalii , lakini kwa sisi wengi wetu tunatumia kwa matumizi ya nyumbani , bora kulima vitunguu . na ni vema wakasoma masoko ya sehemu husika kuliko kuwajengea tu , yaani ni vema kutoa smina ya biashara na kilimo

Soko ni suala muhimu, ni vema kuliangalia pia katika mtazamo chanya. Kila familia inatumia mazao ya bustani kila siku (Consumables). Bado kuna mahotel, mashule, vyuo nk nk. Mazao haya yana soko la kudumu ili mradi tu muhusika anakuwa mwepesi katika mauzo.
 
Mkuu nipo iringa, labda nijiulize, mimi eneo langu halipo tambarare, lina mteremko kidogo, pia nimejenga fensi ya ukuta eneo la ndani ni mita 9 kwa 18 je litafaa?

Kama ilivyo katika ujenzi wa nyumba ni vema Green House ijengwe kwenye level ground. Jitahidi kusawazisha. Japo inawezekana ujenzi wa "poles" unaweza usiwe sawa maana nyingine itabidi ziwe fupi ili kubalance Green House yako.
 
Kaka, kwa greenhouse ambayo imejengwa kwa small scale farming hauhitajiki kuwa na umeme ili kucontrol hali ya joto. Kulingana na mahali unapotaka kulima, tunajenga greenhouse ambazo kwa sides ziko na ventilation 70%. Hii inahakikisha kwamba kuna flow ya hewa from one side to the other, na kiwango cha joto kinakuwa chini. Kama sehemu yako ina baridi, tunajenga nymbaa ikiwa na curtain ili wakati wa baridi unafunga curtain ili nyumba isipoteze joto.
Kwa sehemu za joto kali kama vile pwani, tunaweza kutumia curtain-net nyeusi ambayo inakupa kivuli ndani ya greenhouse yako na hivyo mimea yako itastawi.
Ukiweka kivuli mimea itastawi vp wakati yenyewe inahitaji mwanga ili iweze kutengeneza chakula chake (This does not sound proffesional)
 
Ndugu zangu watanzania naomba nitoe tahadhali kuhusu uanzishwaji wa greenhouse hasa haya yanayotangazwa kibiashara kabla ya kufanya uamuzi wa kuyanunua nawaomba mpate ushauri kutoka kwa wataalam wa kilimo. kuna mambo ya msingi sana yanatakiwa yazingatiwe emissivity na transmissivity ya cladding/greenhouse cover ni muhimu sana wafanyabiashara wengi wamekuwa wakidanganya hivyo kupunguza efficiency ya greenhouse yenyewe. pia greenouse inategemea na location uliyopo, hali ya hewa na availability ya resources. mimi ni mtaalam wa kilimo ambaye kwa sasa nasomea greenhouse hort nchini uholanz be careful my people.
Agric pays Do it.

Ahsante Mkuu. Na mie nimetoa onyo hapo juu. Naona hii fani imeanza kuingiliwa na watu wanaotaka kuwa tapeli watu bila kuwapa ukweli wote. Very sad. Watu watafanya lolote ili kupata pesa, hata kama inamaanisha kukufilisi ka akiba kako ulikoweka bank.
 
Mkuu vipi kuhusu janga la upepo? Hii makitu siyo kwamba inaweza kuvulumishwa na upepo halafu 5m ndo inateketea hivyo? Au mna utaratibu wa bima? Na hiyo picha uliyotuwekea hapo ni greenhouse za Tz au za Ulaya mkuu umeiweka tu ili kutuvuta?

Wazo ni zuri nimelipenda, usije nishawishi ka-plot kangu ka 20m x 40m nikakageuza mradi kwa kujenga greenhouses za kutosha! Ila sijui kama mipango miji wanaweza kuruhusu hii kitu ifanyike katikati ya mji?

Suala la upepo lipo. Ipo mifano ambayo kuna Green House moja Bagamoyo ilichukuliwa na upepo na ikaanguka. Katika maeneo ya upepo ni vema kufanya re-enforcement na kutumia chuma badala ya miti na upepo ni muhimu.
 
Kwamba kuna green house wala halina ubishi.... nazijua sana pengine kuliko wewe. Mimi niko kwenye namna ''ulivyopaisha'' mapato yake vs bei unayouza. Utafikiria rocket ya kwenda mwezini!

Kujua kitu si kutenda na ndo maana nchi yetu ina wasomi wengi wazuri na wajuzi wengi lakini utendaji wetu mbovu. Nchi hadi leo masikini na visingizio kibao. Problem ni Attitude!

Negative Attitude. Emotions si lazima katika mijadala. Emotions are energies ambazo katika ulimwengu wa sayansi ya sasa hasa last 5 years can be removed. The choice is yours!

Back to topic:

Green House is a Technology ambayo inakuhakikishia high productivity kwa sababu ya ku-control environment na management.

8X15 M unaweza kupanda miche 600 ya nyanya.
Kwa wiki unaweza kupata kati ya kilograms 400-600
Msimu toka uanze kuvuna unaweza kuchukua miezi 8 hadi 12.
Kwa DSM bei ya nyanya inarange kati ya TZS 1500 hadi 4000 kutegemea msimu

Sasa tufanye mahesabu ya kawaida:

Kwa wiki unapata: 400 (600) Kgs X 1500 (4000) = TZS 600,000 hadi TZS 900,000 (kutegemea na timing)
Kwa mwezi au wiki nne: TZS 6000 X 4 = 2,400,000 hadi TZS 900,000 X 4 = 3,600,000/=
Kwa average ya miezi 10: TZS 24M hadi TZS 36M

Kumbuka running cost ni minimum baada ya investment ya awali..
 
hyo inawafaa nyie wa mjini mnaotaka kulima kwenye lami,kw cc wakulima haitufai kabisa.embu fikiri eneo 5*8m utazalisha nn?nahapo lazima uwe na systm ya croprotation ukilima nyanya then kitungu.embu niambie kwenye kitungu kwa eneo hlo utapata gunia2 ukiuza 50alfu utapata laki kw miez4,kwenye nyanya ukipanda mbegu eden utapata debe30 na c zaidi ukiuza kwa alfu20 kwadebe utapata laki6 hapo umekula miezi 4 hadi 5 ukijumlisha nahyo yakitungu unamiezi 9 mwaka umeisha umepata laki8.ukipanda mbegu ana utapata cyo zaididebe 50 ukiuza kwa ishrni alfu utapata milion ukijumlisha nakitunguu una milion laki2.hyo ndyo hesabu zako za greenhause otherwise niambie unatumia mbegu gani ili nipate kipato kikubwa kwa eneo ndogo kiac hicho.sbb 5milion nikiamua kulima nyany nawezakulima eka3 yanyanya nakm nikitungu nikijibana nalima eka3 nakapata return kubwa tu.

Ukitumia Mbegu Eva-F1 kwa miche 600 inaweza kuzaa hadi kilo 600 kwa wiki hii ni katika Green House ya Mita 8 X Mita 15.
 
Nakuombea uzima mkuu, natamani kuona hii kitu ikiwa applicable .... nitakuwa member, kwa sasa settlement yangu haijatulia... nakusupport ila tukumbuke kuwasaidia na wanaotaka ila wasio na uwezo!

Asante sana.

Green House is not my main business ila ni passion yangu kuona watanzania wengi wanaamka na kujisaidia katika maisha yao hasa kupitia technolojia rahisi.

Inasikitisha kuwa wakati kuna baadhi wana Green House na kuondesha maisha yao bila pressure kupitia vipato vya Green House wanavyopata, bado kuna watu wana question. Technology is a Technology na hakuna kitu utabadili kama imeshakuwa proved.

Asante sana kwa support yako na tuendelee kubadilishana mawazo katika mtazamo chanya.
 
hi ki2 kwavile mzungu analima gorofani na sisi pia tunaka kulima gorofani bila sbb yakujua kwnn analima gorofani.wenzetu ulaya wanatumia greenhause sbb ya ufinyo wamaeneo je na sisi wenye maeneo namapori yanalala tu tuanze kujinyima kwenye ka green hause.poa lakini nisijenamharibia mshkaji dili yake

Really? Mungu tusaidie Watanzania tubadilike na hasa attitude zetu kwa ajili ya maendeleo yetu!
 
Hivi jamani, hao watanzania wa kawaida ndo wapi?

Nauliza kwa sababu siku hizi chochote kile utasikia ..watanzania wa kawaida....anayekula rushwa..anayeiba kodi..who ever is doing anything or nothing..anajificha kwenye mgongo wa 'watanzania wa kawaida'. TANESCO, DAWASCO..nk wakisema lipa kiasi fulani cha gharama upewe umeme..utasikia watanzania wa kawaida hawawezi hizo bei..sasa jamani..unataka hizo huduma upewe bure? Hata kama serikali ingetoa ruzuku..bado..hayo mashirika kusudi ya survive..lazima yatoe huduma bora..na huduma bora lazima zilipiwe. Jamani tufike sehemu tukubali..maendeleo ni mtu mwenyewe. Sasa ulitaka hiyo green house ujengewe bure? au ulitaka wacharge bei gani? Everything has a cost. Ukiangalia huo mchanganuo..its fair kabisa..in a sense kwamba hata anayefanya hiyo kazi anataka apate faida japo kidogo na yeye aweze kuendesha maisha yake.

Utasikia..bei zimepanda..itaathiri watanzania wa kawaida...Anything done....hata iwe na good intention kivipi..we simply become negative..je hao watanzania wa kawaida wataacha kuwa wa kawaida lini? All in all..watanzania tuache kiswahili kirefu na kukata tamaa. We should be ready to take responsbilities kwa maisha yetu. Kipimo cha utu ni vile vile..kushiriki kufanya maamuzi makini...mfano unapopewa fursa ya kupiga kura..unaichukuliaje? unachagua viongozi kwa vigezo vipi?...Tafadhali fahamu kwamba maisha hayana dezo. Popote pale. Kwa hiyo..wewe ukiona kila siku ni mtanzania wa kawaida..tafakari..chukua hatua.


The biggest challenge of WE Tanzanians ni kufikiria kwamba..somebody else (whether serikali au raia wengine) will think and act on our behalf...ufanye ujinga....take poor choices or decisions...utegemee wengine watakuonea huruma... That will never happen until Jesus (for those who believe in this man) comes back. Ndo maana utakuta hata mtaani barabara mbovu.....watu wanakaa wanasubiri serikali..yaani hata kujimobilize..wafukie mashimo..wapi...ukiangalia mtaa umejaa maghorofa..nje ya geti..ni uchafu na mashimo..lakini kuona raia wanachukua hatua madhubuti kuweka sawa mambo..ni ngumu. Mimi sijui hii tabia ya kuwa tegemezi na kutaka kuonewa huruma tutaiacha lini. ..ndo maana jamii zetu zimejaa rushwa, uzembe....na mkato mkato...kwa sababu VERY FEW BELIEVE that hard work and honesty pays. Mpaka watoto wetu siku hizi tunawafundisha ujinga tuu..baaba anaiba...anajenga majengo kibao..maviwanja kibao...kisa..unajua nina watoto....To me thats wrong..simply because..hatuwafundishi watoto kutafuta maisha kwa nguvu zao.....we have become a society of greedy..we want to own everything.....maisha na future zetu havina security...ndo maana tunaiba na kumiliki hata vile tusivovihitaji...mzee una mashamba ya kufa mtu huko sijui wapi..leo umestaafu..una ghorofa kubwa masaki..hardly you can use one room wewe na mkeo..hayo mashamba huwezi hata kwenda kuyaangalia tena...Its very sad..jamii tunaijenga kwa kizazi cha leo na kesho sijui itafanikiwa vipi..... We cherish mediocrity. Simply put........ We know the price of everything. We know the value of nothing!

Its a bad culture. We ought to stop it.

Masanja.

Masanja, Well written! As if nilikuwa naandika mimi.

Shida ya Watanzania nia mitazamo ambayo inakuwa reflected katika characters zao na personality zao. Hizo ndo zinapelekea destiny yao. Kuna popular words zinasema:

"Watch your thoughts; they become your words
Watch your words they become your actions
Watch your actions they become your habits
Watch your habits they become your characters
Watch your characters they become your destiny.

Kibaolojia ukiacha tofauti ya jinsia binadamu wote ni sawa. Kinachotofautisha kati ya mtu moja na mwingine inatokana na mambo yafuatayo:

1. DNA (Urithi toka kwa Wazazi - DNA zao ni za Kisoshalisti toka enzi za mwalimu, na unajua Ujamaa ulileta utegemezi)
2. Ulichoingiza kichwani katika ya umri wa miaka 0 ukiwa tumboni hadi miaka 12 (Mazuri na mabaya yote uliyosikia, kutendewa, kuona, kunusa au kuonja yako hapa, hata kama wewe hukumbuki). Hapa mazingira ya mtu alipokulia counts
3. Personal Life Experience toka miaka 12 hadi sasa. Hapa ndo akina Masanja wameweza kusimama wenyewe nk
4. Uhusiano wako na Mungu wako, so hili pia linategemea malezi, jamii, nk nk

Ni vema Watanzania wakiamuka sasa na kubadili mitazamo yao otherwise REAL SUCCESS wataisikia tu!
 
Mkuu sana Masanja mfumo wetu umetuandaa hivyo, kuna kasoftware kadogo kanatakiwa kuwa installed kwenye mind zetu kufuta hii mentality, na nina hofu kama hii litawezekana kwa sasa maana ukweli ni kwamba mlinganyo wa maisha kati ya aliye nacho asiye nacho na mwenye kidogo ni mkubwa mno ambapo kwa mwanahisababti utakuwa una unknown tatu za kutafuta wakati dta ulizonazo zinasuit kutafuta unknown mbili...

Kuna mambo ambayo wananchi hatutaepuka lawama kwa kuyaacha yajiendee ovyo tu,mfano kutupa taka hovyo na kufanya shughuli ambazo zinablock miundombinu mathalan ambapo baadaye ikitokea dharura yoyote rescue dudes wanashindwa kumwokoa victim..

Wengi wetu tumejikuta tumezaliwa na kwamba tumesoma elementary school kwa sababu ilikuwa desturi tu ya watoto wenye umri wa kwenda shule waende, na tukajiendea tu....Tulipohitimu darasa la saba tukajikuta tupo sekondari, kwa kuwa tulichaguliwa ili tusiwe chokoraa mitaani ila baada ya kupata ka exposure kadogo ikabidi kujituma kidogo ili wadogo zetu mtaani wasituone mbumbumbu kwa kushindwa kuingia kidato cha tano...tukaenda na tukajikuta vyuoni kwa namna ile ile ya msaragambo....

Tokea siku ya kwanza ya elimu ya chuo kikuu hadi siku ya mwisho ya elimu ya shahada ya kwanza, ni tambo tu za wakufunzi na historia za nchi walizosoma na ama maisha waliyoishi wakiwa masomoni, wataende mbele zaidi kwa kukuambia kwamba wanakuandaa ili ukajiajiri mwenyewe huku wakisahau wapo chuoni kimkataba baada ya muda wao wa kufanya kazi (kuajiriwa) umepita na kwamba pamoja na nadharia yao ya kukuandaa kujitegemea ila yeye si muumini wa nadharia husika. Unamaliza unaingia mtaani ukiwa na kakiburi cha usomi, na maisha ya kisomi somi...Guess what!

Ndiyo mwanzo wa kuanza kuona serikali haijafanya hili na lile,ndo mwanzo wa kuvishwa chuki za kisiasa, ndo mwanzo wa kuanzisha vijikundi vya kugombana na serikali, ndo mwanzo wa umasikini na kuvunja sheria, ndiyo mwanzo wa kuwa mwenyeji wa mahakani. Na kwa kuwa maisha hayagandi bado uzazi utaendelea, unategemea kizazi kinachozaliwa kwenye vurumai hili kuwaje...nikisema Mtanzania wa kawaida siilaumu serikali ya bwana mkubwa, ni mfumo umetufikisha tulipo..and offcourse we enjoyed ride!

Well written: Hongera sana.

Anayetaka anaweza kubadili mindet yake na attitude. PLEASE GOOGLE "BRAIN WAVES" na hasa "THETA WAVES" can be very useful kwa wengi wetu.

Anayehitaji msaada amtafute Masanja au Horseshoe Arch. Pia ukihitaji msaada unaweza kunitafuta. You can change your mindset now!
 
Last edited by a moderator:
Maridadi kabisa. And thats my point.

Tumekuwa taifa la walalamishi, ujanja ujanja, mkato mkato....wizi pety pety.....yaani hatujitambui..kuanzia kwa viongozi mpaka kwetu wananchi. Lakini kikubwa zaidi..ni kipi kifanyike kuaddress hili tatizo? Mi naamini lazima tuanze kwa kubadilika kifikra. Angalia hata humu JF..kuna watu wakisikia unacomment against their belief in CCM or Chadema or whetevver party..unaonekana msaliti..huna shukrani kwa serikali sikivu! Jana nilibahatika kuangalia bunge na michango ya wabunge! Specifically nilimwangalia msomi Omar Nundu (I didnt know the dude had been a minister)..Yaani I felt very sorry for myself and my country. Yaani jamaa anaongea pumba ni hakuna mfano! Yaani nilikubali ule msome kwamba..some people appear smart until you hear them speak.

I mean wengi wetu tumeshajikatia tamaa kabisa....Lakini is it true kwamba hatuwezi kubadilika? tujadili hili.

Tujue kabisa kwa kila maamuzi tuyafanyayo...lazima kuna consequences. The only way the poor can engage in deliberative dialogue in society such as ours..is to be responsble kwenye maamuzi muhimu kama ya kuchagua viongozi na kuwawajibisha. These viongozi are damn tired na wameshiba mpaka wamejisahau. Unajua wenzetu wanasema stupidity..is doing something over and over again..expecting different results. TuNAFANYA UJINGA ULE ULE tukitegemea mambo yatabadilika.

Naamini ni muhimu hata mitaala yetu ya kishule tuibadilishe kwa namna fulani kuendana na hali halisi. Imagine mtu ana div. four ndo anachaguliwa ualimu. Juzi jamaa ananiambia..bro..nimefeli form four hebu nifanyie mpango wa upolisi au Jeshi!!! Means hizo fani ni za failures! Mkuu kama tumefikia huko na bado hatulioni huoni hatari?

Ndo maana mkuu..leo ukiendesha gari zuri au ukajenga nyumba nzuri..watu wanajua umeiba.....maana hata viongozi wetu..wametuonyesha kwamba kufanikiwa lazima uibe kodi za raia. Sad indeed.

Lakini ideas kama hizi za akina Msimbe..can change one's life positively kabisa..sema wengi wetu tumekata tamaa na I really hope tutabadilika.

Masanja

Some thing is wrong.

Well written brother!
 
Nimeupata ushauri wako, ni mzuri. Umefikia wapi na greenhouse yako baada ya kumtembelea huyo jamaa?
Bado nipo kwenye mchakato Mkuu, ndio maana nikashauri kama una affordable altenative basi unifanzie hapa ili nicheki kama kwangu iko poa zaidi!!
 
Back
Top Bottom