Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

Laiti kama tungekutana watu 28 wenye malengo yanayoshabihiana ya kukataa umasikini na kuamua mawazo ya kinyonge na uoga kwamba hatuwezi kisha tukasimama kwenye jambo moja ambalo tutaona linafaa na kisha tusiwe wachoyo...tuwe transparent kwa wenzetu wasioamini hadi waone! Nina hakika kila mmoja kwenye hao 28 angeweza kuinspire watu sita hadi nane kutoka kitongoji chake na katika hao nao wangehamasika na kuhamasisha watu wawili watatu kwenye mitaa yao na finaly kaya zote zingekuwa na mwamko wa aina moja, na tumaini jipya na moto ingekuwa...alaaah kumbe tunaweza!

Baada ya hilo tungeyatazama maisha katika angle tofauti,mind zetu zisingekuwa iddle tena kufikia kiwango cha kuanza kulaumu circumstances!

Jana nilisoma chapisho moja la kijana ninayeheshimu sana uwezo wake wa kuchanganua mambo na namna anavyowaza na kujenga hoja fikirishi Malisa Godlisten ...

Alitoa mfano wa namna wenzetu wanavyotumia advantage ya kutojitambua kwetu kwa kunufaika na ujinga wetu...alimzungumzia bwana mmoja aliyetoka kwao ughaibuni kwa mtaji mdogo wa Mil. Moja kuja kwetu kuwekeza kwenye biashara ya kununua ngegere kwa kiwango cha sh. 10,000 kwa kila ngedere of whom aliwapata ngedere 50 kwa kiwango cha sh. 500,000.

Baada ya kuadimika akaamua kupandisha dau hadi sh. 20 na kufanikiwa kupata wengine ishirini kwa jumla ya sh 400,000..na baada ya kuona scarcity imeongezeka akiwa amebakiwa na 100,000 akapandisha tena dau hadi sh. 50,000 kwa ngedere na kupata wawili tu....

Kwa kutambua kuwa ngedere wamemalizika kwenye kijiji alichowekeza akapandisha dau hadi laki tatu kwa ngedere mmoja, kwa tamaa ya fedha wanakijiji wakaamua kusaka ngedere kila kona na muda haukupita wakapata habari ya uwepo wa mzee mmoja kwenye kijiji cha jirani aliyekuwa anauza ngedere mmoja kwa bei ya sh. 200,000. Wakafanya kila waliloweza kwa kukopa na kupita hapa na pale wakawanunu ngedere wote of which walikuwa 72 kwa bei ya laki mbili mbili ili wakauze kwa bei ya laki tatu...

Fadhaa ikawapata baada ya kurudi kwao na kumkosa mnunuzi aliyewaahidi 300,000... Wakasubiri siku ya kwanza hawakumuona, siku ya pili, ya 3, mara wiki, mara mwezi, mara mwaka....

Behind the scene...


Wale ngedere waliokuwa kijiji cha pili ni wa yule mzungu. Alikua anawanunua kwa wale wanakiiji anakwenda kuwahifadhi kijiji cha jirani kw yule mzee.
Kichwani alijua kbs ipo siku ngedere wataisha na ataanza kuwauzia walewale wanakijiji bila wao kujua, tena atauza kwa bei kubwa.
Yeye alitumia milioni moja kununua ndedere 72.... sasa amekuja kuwauzia wanakijiji walewale kwa laki 2 kwa kila ngedere. Hivyo akapata jumla ya sh.milioni 14.4, Kisha akaondoka na hela zake, akawaachia wanakijiji ngedere wao plus madeni na umasikini wa kutupa...

Angalizo tunalopata hapa ni kwamba mitaji mikubwa tunayopaswa kuwa nayo ni akili zetu na si kiasi kikubwa cha fedha na kuwa makini na maamuzi tunayofanya leo ili yasitugharimu kesho....Kwa maana nyingine, ni kwamba umasikini na utajiri wetu uu proportional na uwezo wa akili zetu!

Wasalaaam!
Horseshoe Arch na Masanja naomba please tutafutane. Muhimu sana. nahisi kuna kitu tunaweza kuwasaidia Watanzania wenzetu.

Mkiwa radhi I would love to host you in my show "AMKA NA BADILIKA"
 
Last edited by a moderator:
Picha mkuu, weka picha za_kutosha.
Wapi shamba darasa?
 

TAHADHARI USIDANGANYWE KIRAHISI NA HAWA WATU WANAO PROMOTE KILIMO CHA GREENHOUSE UTAFILISIKA!!!!!!


Tahadhari sana wa JF. Ukweli ni kwamba watu wanao-promote kilimo cha aina hii wanafanya hivyo ili kupata faida, bila kuwaambia watu ukweli kwamba kilimo hiki si rahisi kama wanavyofikiria. Kilimo hiki kinawezekana maeneo ya baridi, lakini sehemu za joto kama hapa Dar utakuwa unatengeneza oven ya kupikia mazao uliyopanda badala ya greenhouse ya kufanya upate mazao mengi!!!

Watu huko Uganda wameshalizwa sana na hili suala la kilimo cha greenhouse. Usidanganywe!!! Kwanza, ili greenhouse yeyote ifanikiwe inatakiwa kiwango kikubwa cha ku-control joto, hata kutumia compyuta. Je wewe utaweza?

Kwa taarifa zaidi, soma makala hii hapa chini, na hakikisha unawatahadhalisha wengine.

Dont be Fooled!!! What you need to know before you invest in greenhouse

True, there is money in greenhouse farming. But it is not easy money, as the aggressive promoters of greenhouse technology would want farmers to believe.

To get the picture, look at abandoned greenhouse structures scattered around Kampala and neighbouring districts like Wakiso and Mukono. The owners are frustrated farmers who invested millions expecting quick returns, only to lose it all.

False promises
Lured by the high returns projected by fast-talking promoters masquerading as greenhouse technology experts, many aspiring farmers, especially the young corporate class, took bank loans, drew their savings, or liquidated fixed assets to invest in a greenhouse.

You cannot blame them for being gullible. The returns on investment projected by the greenhouse promoters are simply irresistible. One lady was assured of 400 per cent in profits within half a year. She invested Shs10m expecting Shs40m in six months. But instead she lost an entire crop of tomatoes to a wilt disease at the flowering stage.

The people who supplied the greenhouse structure and equipment, kept suggesting different chemical combinations, which the desperate farmer had to buy from them. She faithfully applied the chemicals but the tomatoes continued wilting as if they had been planted in a sauna.

Get knowledge
Finally, the truth hit her in the face like a basket of rotten tomatoes. The so-called greenhouse experts were actually gamblers, who were just using her as a guinea pig.


In greenhouse farming, like any other farming enterprise, knowledge is power. But most farmers only want to know how much it will cost and how soon they will recover their money.


The right people to ask would be fellow farmers, who are already into greenhouse production. There are a few successful greenhouse farmers in Uganda. Visit them. There are many in Kenya, who can be visited through organised tours.

For those with internet access, there is a lot of information available. You can have virtual tours of greenhouse projects in Asia and other parts of the world, which have similar climatic conditions as Uganda.

From them, you learn about the opportunities and challenges in greenhouse farming. Some offer short courses in greenhouse management and other vital practical skills.

Besides inadequate knowledge, lack of commitment is another reason why many greenhouses in Uganda fail. Many Ugandans engaged in greenhouse farming have full-time jobs elsewhere. The day-to-day management is left to workers, whose competence and commitment are questionable.


Conditions in a greenhouse are constantly changing so the need for close monitoring. Plant growth is determined by the controlled conditions inside the greenhouse. Temperatures and humidity have to be kept constant around the clock. A greenhouse can easily overheat in the hot sun, leading to total disaster.

In technically more advanced countries like Israel, conditions are regulated with the help of computers. However in Uganda and most African countries, this still has to be done manually. In such a situation, monitoring the greenhouse on phone or visiting for a few hours over weekend cannot work.

YOU HAVE BEEN WARNED!!!!

Salaam Sana

Aliyoandika Mkuu huyu yana ukweli wa kiasi fulani hasa kwa sehemu za baridi. Little Search (Google) ya Green House in a Hot Climate utagundua kuwa challenges hizo are the talks of the past unless kama mtu hajaweza kujua juu ya improved Technology.

I am challenging aliyepost hii anione nimpeleke Mombasa; malindi, Kilifi in Kenya etc akashuhudie Green House in a Hot Climate kama ilivyo coast ya Tanzania. Wenzetu matatizo waliyoyapata toka miaka ya 90 yaliwafanya wabuni mambo ya ziada.

Isitoshe hapa DSM kuna watu wana green houses and can be visited.

Green House katika Hot Climate inakuwa regulated as follows:

1. Building facing wind directions for air circulation
2. Net covering 70% to allow ventilation
3. Black or Green Net to absorb the heat na
4. Sprinklers to cool the temperature

Yeyote aliye na shaka anayo nafasi ya kutembelea na kuona.
 
nlikua natafuta sana fursa hii ya green house.nina eneo langu vikindu sitaki liendelee kuwa wazi bila kuzalisha kitu.
hamna maji ila nta drill alaf ntakua nayapampu na generator.

swali langu ni kwamba hiv ni lazma kuwe na umeme wa uhakika kwa ili ku- maintain hali ya hewa kwenye green house ukizingatia kua vikindu ni joto na green house zina joto?

naomba jibu mtaalam maana nlitaka kuagiza china ila nikagundua kua kwa hiyo kampuni niliyokua nawasiliana nayo ni lazima niwe na umeme wa uhakika ndo ntaweza kutumia hizo GH zao.sasa hizi zinazosemwa hapa nazo pia ni lazima umeme?

Ni lazima kuwe na maji.
Umeme hauusiki

Maelezo ya kina yametolewa juu
 
Waganga wa kienyeji bana? unaenda kwake akufanye uwe tajiri wakati yy hana kitu? y mstajirike wenywe kwanza tukaona?

mnaingiza watu chaka na biashara zenu

"Wakati Yeye Hana Kitu?" - Karibu sana.
"Msitajirike kwanza siye tukaona" - karibu sana. Njuguna unahusika hapa na utajiri wako.
"Mnaingiza watu chaka" - Tembea ujionee. Naahidi kukutembeza Green House za DSM na Kenya at my coast. Sometimes si wazo baya kuingia gharama ili asiyeamini aamini. Just contact me.
 
Mkuu Njuguna hakuna anaye bisha na uzuri wa horticulture zenu, after all Kenya mna uzoefu wa siku nyingi katika miradi hii,isitoshe mazao yenu mnauza huko Ulaya - ukienda kwenye Supermarket za huko unakuta bidhaa kutoka Kenya na South Africa, hatujui kama mazao hayo yanatoka kwenye FARMS za White farmers au Waswahili (Wafrica) wenzetu wa huko Kenya, tuwe wakweli hapa, wazungu wanaweka mikwala sana kwenye bidhaa za mboga mboga na matunda kutoka Africa, ndio maana wanakubali bidhaa za Kenya na South Africa kwa kuwa wanajua kuna wakulima wazungu wenzao huko.

Ndugu Njuguna na Ndugu Msimbe hebu tuhakikishie soko la kuaminika wa zao hili alafu uone wanachi watakavyo hamasika in droves, Ndugu Njuguna tuhakikishie kwamba mna uwezo wa kukodi cargo planes za kusafirisha Nyanya huko Ulaya, Middle East na Merikani na zikakubarika kununuliwa na hypermarkets za huko bila mikwala.

Sina uhakika kama Njuguna kalijibu hili.

Masoko ya nje ni makubwa sana kiasi kwamba unahitaji kuwa na reliable supplies at a fixed quantity kubwa.
Soko la nyumbani bado lipo: Graden Produces ni consumables katika maisha kila siku na kuna high na low kutegemea msimu. With Green House hakuna high na low.
 
Tatizo letu siasa imetuathiri, ingia kwenye youtube search kilimo biashara utaniambia ni uongo au ni nafasi yako kuachana na umaskini wa kujitakia

Thanks kwa kuonyesha njia. Pia Wanaalikwa kuangalia AMKA na BADILIKA PROGRAM.

NIkiandika hapa TZ kuna Ng'ombe wanatoa LITA 60 za Maziwa kwa siku sijui watabisha pia?
 
Kiukwel kuchange mind set ya wabongo kuhusu kilimo biashara Au kilimo in general t will take a century......
People are so reserved hawatak kuthink beyond.... Wao kuwa employed Ndo ndoto zao kuuubwaaa.... Ni Shida sna Kwa kweli...

Asante kwa observation yako!
 
Ahsante Mkuu. Na mie nimetoa onyo hapo juu. Naona hii fani imeanza kuingiliwa na watu wanaotaka kuwa tapeli watu bila kuwapa ukweli wote. Very sad. Watu watafanya lolote ili kupata pesa, hata kama inamaanisha kukufilisi ka akiba kako ulikoweka bank.

Mkuu hilo limejibiwa bila shaka umesoma posts iliyojibu!

Cha ajabu utashangaa kuona hata watalaam wetu uwa Kilimo toka vyuo vyetu bado wanaamini vitabu kuliko practicals. No Wonder kuna maandiko mengi kwenye makabrasha lakini utendaji kidogo.

Again, asiyeamini anaalikwa at my cost kutembezwa katika Green House katika maeneo ya joto akashuhudia.
 
Ndugu zangu watanzania naomba nitoe tahadhali kuhusu uanzishwaji wa greenhouse hasa haya yanayotangazwa kibiashara kabla ya kufanya uamuzi wa kuyanunua nawaomba mpate ushauri kutoka kwa wataalam wa kilimo. kuna mambo ya msingi sana yanatakiwa yazingatiwe emissivity na transmissivity ya cladding/greenhouse cover ni muhimu sana wafanyabiashara wengi wamekuwa wakidanganya hivyo kupunguza efficiency ya greenhouse yenyewe. pia greenouse inategemea na location uliyopo, hali ya hewa na availability ya resources. mimi ni mtaalam wa kilimo ambaye kwa sasa nasomea greenhouse hort nchini uholanz be careful my people.
Agric pays Do it.

Interesting . . . . Kama kawaida ni facts za kwenye vitabu ambazo hazina ubishi. Ukweli ni kuwa kuna GREEN HOUSES Mombasa na DSM and can be visited na zinafanya vema tu. Modified local experience matters!

Kwa waleo walokwisha kushuhudia na kuona my TV Program najua wanaamini yaliyoandikwa. Wakati kuna watu wanao-doubt kama kawaida kuna wengine actually they are doing it!
 
Maridadi kabisa. And thats my point.

Tumekuwa taifa la walalamishi, ujanja ujanja, mkato mkato....wizi pety pety.....yaani hatujitambui..kuanzia kwa viongozi mpaka kwetu wananchi. Lakini kikubwa zaidi..ni kipi kifanyike kuaddress hili tatizo? Mi naamini lazima tuanze kwa kubadilika kifikra. Angalia hata humu JF..kuna watu wakisikia unacomment against their belief in CCM or Chadema or whetevver party..unaonekana msaliti..huna shukrani kwa serikali sikivu! Jana nilibahatika kuangalia bunge na michango ya wabunge! Specifically nilimwangalia msomi Omar Nundu (I didnt know the dude had been a minister)..Yaani I felt very sorry for myself and my country. Yaani jamaa anaongea pumba ni hakuna mfano! Yaani nilikubali ule msome kwamba..some people appear smart until you hear them speak.

I mean wengi wetu tumeshajikatia tamaa kabisa....Lakini is it true kwamba hatuwezi kubadilika? tujadili hili.

Tujue kabisa kwa kila maamuzi tuyafanyayo...lazima kuna consequences. The only way the poor can engage in deliberative dialogue in society such as ours..is to be responsble kwenye maamuzi muhimu kama ya kuchagua viongozi na kuwawajibisha. These viongozi are damn tired na wameshiba mpaka wamejisahau. Unajua wenzetu wanasema stupidity..is doing something over and over again..expecting different results. TuNAFANYA UJINGA ULE ULE tukitegemea mambo yatabadilika.

Naamini ni muhimu hata mitaala yetu ya kishule tuibadilishe kwa namna fulani kuendana na hali halisi. Imagine mtu ana div. four ndo anachaguliwa ualimu. Juzi jamaa ananiambia..bro..nimefeli form four hebu nifanyie mpango wa upolisi au Jeshi!!! Means hizo fani ni za failures! Mkuu kama tumefikia huko na bado hatulioni huoni hatari?

Ndo maana mkuu..leo ukiendesha gari zuri au ukajenga nyumba nzuri..watu wanajua umeiba.....maana hata viongozi wetu..wametuonyesha kwamba kufanikiwa lazima uibe kodi za raia. Sad indeed.

Lakini ideas kama hizi za akina Msimbe..can change one's life positively kabisa..sema wengi wetu tumekata tamaa na I really hope tutabadilika.

Masanja

Some thing is wrong.
Masanja umedadavua vizuri sana!

Hapo kweye red mkuu ndipo kuna utata. Kwa vile vichwa vyetu vina ukakasi inakuwa ngumu sana kuamini katika teknolojia hizi zinazotujia ili kutukwamua kwenye umaskini. Nafikri umeona baadhi ya michango ya akina Jasho la Damu, Synthesizer (anavyojaribu kufanya synthesis ili kuonesha kuwa teknolojia hii ni majanga), hii yote ni kutokana na sisi wa-TZ kukosa ile hali ya uthubutu. Kila unapoona idea mpya kinachotangulia ni kuliwa bila kutafakari kwa mapana na marefu yake. Kizazi chetu hiki kina shida sana na taabu kubwa sana kwenye vichwa vyetu. Kufikia mabadiliko unayoyasema nafikri mpaka kwanza hiki kizazi chetu kipite, ingawa napo napata shida sana kuamini kama kweli kizazi kijacho nacho kitakuwa bora kuliko sisi kutokana na maandalizi ya elimu yetu tunayoendelea nayo leo hii!

Bado tuna safari ndefu sana kufikia mabadiliko ya kweli katika nyanja zote, ifike mahali tufanye maamuzi magumu ya overhauling the whole system bila kuangaliana usoni labda hapo ndo tutatoka. Teknolojia kama hizi zingekuwa zimeingizwa hata kwenye mitaala yetu (hili sina uhakika kama pale SUA watu wa Horticulture wanafundishwa) ingesaidia sana hata kuibua ajira kwa vijana wetu badala ya kupanga misururu na kujazana watu 10,500 kwenye nafasi 70.

Ushauri kwa bwana Sanctus na wenzake, kama inawezekana kukawa na green houses za mfano kwenye baadhi ya maeneo ili watu wakapata mahali pa kutoa tongotongo itasaidia sana kuonesha kwamba these things are doable na hivyo kupunguza mapingamizi ya akina Synthesizer na Jasho la Damu. Maana ukisoma mabandiko yao hakika unakata tamaa kabisa!!

Mwisho mkuu umenichekesha na hiyo habari ya dogo anayeomba apelekwe JW au Polisi, hii kitu hata mimi napambana nayo sasa hivi kuna mpwa alikuwa anasomea kwangu lakini sijui bahati haikuwa kwake au niseme uwezo wake ulikuwa mdogo akalamba division 5, nikamtafutia shule nyingine ili ajipange upya nikiamini kwamba labda alianguka kutokana na utoto, sasa nashangaa mtu amerudi home anataka atafutiwe Polisi au JW! Kweli??? Taifa hili linaangamia (hawa si ndo wanaelekezea na kuwafyatulia watu mabomu ya machozi na kuwamwaga matumbo?) - Shen.zy type kabisa!!
 
That is the whole point. Kufanikiwa kwa greenhouse Nairobi hakumaanishi itafanikiwa hapa Dar au Kimbiji huko. Labda unapaswa uka-promote hiki kitu huko Nairobi na sio kuwadanganya watu wa Dar kwba watapata tani 20 sijui kama ulivyopata wewe Nairobi.

Mkuranga Hiyo:


Mkuranga 1.jpg

Mkuranga 2.jpg


Kigamboni:

Kigamboni 1.jpg


Kigamboni 2.jpg
 
Masanja umedadavua vizuri sana!

Hapo kweye red mkuu ndipo kuna utata. Kwa vile vichwa vyetu vina ukakasi inakuwa ngumu sana kuamini katika teknolojia hizi zinazotujia ili kutukwamua kwenye umaskini. Nafikri umeona baadhi ya michango ya akina Jasho la Damu, Synthesizer (anavyojaribu kufanya synthesis ili kuonesha kuwa teknolojia hii ni majanga), hii yote ni kutokana na sisi wa-TZ kukosa ile hali ya uthubutu. Kila unapoona idea mpya kinachotangulia ni kuliwa bila kutafakari kwa mapana na marefu yake. Kizazi chetu hiki kina shida sana na taabu kubwa sana kwenye vichwa vyetu. Kufikia mabadiliko unayoyasema nafikri mpaka kwanza hiki kizazi chetu kipite, ingawa napo napata shida sana kuamini kama kweli kizazi kijacho nacho kitakuwa bora kuliko sisi kutokana na maandalizi ya elimu yetu tunayoendelea nayo leo hii!

Bado tuna safari ndefu sana kufikia mabadiliko ya kweli katika nyanja zote, ifike mahali tufanye maamuzi magumu ya overhauling the whole system bila kuangaliana usoni labda hapo ndo tutatoka. Teknolojia kama hizi zingekuwa zimeingizwa hata kwenye mitaala yetu (hili sina uhakika kama pale SUA watu wa Horticulture wanafundishwa) ingesaidia sana hata kuibua ajira kwa vijana wetu badala ya kupanga misururu na kujazana watu 10,500 kwenye nafasi 70.

Ushauri kwa bwana Sanctus na wenzake, kama inawezekana kukawa na green houses za mfano kwenye baadhi ya maeneo ili watu wakapata mahali pa kutoa tongotongo itasaidia sana kuonesha kwamba these things are doable na hivyo kupunguza mapingamizi ya akina Synthesizer na Jasho la Damu. Maana ukisoma mabandiko yao hakika unakata tamaa kabisa!!

Mwisho mkuu umenichekesha na hiyo habari ya dogo anayeomba apelekwe JW au Polisi, hii kitu hata mimi napambana nayo sasa hivi kuna mpwa alikuwa anasomea kwangu lakini sijui bahati haikuwa kwake au niseme uwezo wake ulikuwa mdogo akalamba division 5, nikamtafutia shule nyingine ili ajipange upya nikiamini kwamba labda alianguka kutokana na utoto, sasa nashangaa mtu amerudi home anataka atafutiwe Polisi au JW! Kweli??? Taifa hili linaangamia (hawa si ndo wanaelekezea na kuwafyatulia watu mabomu ya machozi na kuwamwaga matumbo?) - Shen.zy type kabisa!!


Job K you are right! Mafanikio yote unayoyaona na hata hayo wanayosoma kwenye vitabu, kabla hawajaandika kuna watu walipioneer wakatenda. Akina Gallileo walitaka kunyongwa waliposema dunia ni mviringo (duara) kwa sababu wakati huo dunia nzima iliaminishwa kuwa dunia ni flat.

Mbaya zaidi hata mtu anapoambiwa kuna watu wamefanya na it is working lakini bado hataki kujua. Nini cha kufanya zaidi?
 
Interesting . . . . Kama kawaida ni facts za kwenye vitabu ambazo hazina ubishi. Ukweli ni kuwa kuna GREEN HOUSES Mombasa na DSM and can be visited na zinafanya vema tu. Modified local experience matters!

Kwa waleo walokwisha kushuhudia na kuona my TV Program najua wanaamini yaliyoandikwa. Wakati kuna watu wanao-doubt kama kawaida kuna wengine actually they are doing it!
Unaweza kuniambia emissivity na transimitivity ya cover materials mnazotumia?
 
Back
Top Bottom