Mafunzo ya kujiandaa kustaafu

Mafunzo ya kujiandaa kustaafu

MPENDAPESA

New Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
4
Reaction score
0
I-Mount Training Institute (ITI) tunatoa mafunzo ya siku 5 kuhusu kujiandaa kwa maisha kabla na baada ya kustaafu ili kuwawezesha wastaafu kupata mbinu stahiki za kustaafu vyema. Mafunzo yajayo yatafanyika Morogoro Hotel iliyopo Morogoro kuanzia tarehe 23 hadi 27Februari, 2015, saa 2.30 asubuhi hadi 10.30 jioni. Kwa maelezo zaidi piga +255-767-942314 au tembelea www.iti.co.tz.,http://iti.co.tz/media/pdf/Retirement%20planning-%20flier.pdf
 

Attachments

Back
Top Bottom