Mafunzo ya Kutengeneza chakula cha kuku

Mafunzo ya Kutengeneza chakula cha kuku

NDANGA

Member
Joined
May 19, 2014
Posts
53
Reaction score
27
U.S Grains Council watakuwa na mafunzo kwa watengenezaji wa chakula cha kuku kwa kutumia Soya ,
Mafunzo haya ni kwa wale wanaotengeneza vyakula vya kuku au wanaotarajia kutengeneza chakula cha kuku.

Mafunzo yatafanyika Chuo Kikuu cha Dare es Salaam siku ya Jumamosi tarehe 11-10-2014 kuanzaia saa 2.00 asubuhi hadi saa 9.00 mchana.

Kama una nia ya kushiriki jiandikishe kwa Mary Ngalaba simu : 0718-733 711 au 0683-624 650

Ahsante kwa kuiendeleza tasnia ya kuku

Manase Mrindwa
Katibu
Tanzania Poultry Breeders Association (TPBA)
 
asante hii sikuiona mapema kuweza kujipanga upya kesho. Next time.
 
U.S Grains Council watakuwa na mafunzo kwa watengenezaji wa chakula cha kuku kwa kutumia Soya ,
Mafunzo haya ni kwa wale wanaotengeneza vyakula vya kuku au wanaotarajia kutengeneza chakula cha kuku.

Mafunzo yatafanyika Chuo Kikuu cha Dare es Salaam siku ya Jumamosi tarehe 11-10-2014 kuanzaia saa 2.00 asubuhi hadi saa 9.00 mchana.

Kama una nia ya kushiriki jiandikishe kwa Mary Ngalaba simu : 0718-733 711 au 0683-624 650

Ahsante kwa kuiendeleza tasnia ya kuku

Manase Mrindwa
Katibu
Tanzania Poultry Breeders Association (TPBA)

Jamani nami nilitamani kuhudhuria lakini nimechelewa kuona tangazo. Please kama watafanya mafunzo tena tujuze mapema. Tunasubiri feedback.
 
U.S Grains Council watakuwa na mafunzo kwa watengenezaji wa chakula cha kuku kwa kutumia Soya ,
Mafunzo haya ni kwa wale wanaotengeneza vyakula vya kuku au wanaotarajia kutengeneza chakula cha kuku.

Mafunzo yatafanyika Chuo Kikuu cha Dare es Salaam siku ya Jumamosi tarehe 11-10-2014 kuanzaia saa 2.00 asubuhi hadi saa 9.00 mchana.

Kama una nia ya kushiriki jiandikishe kwa Mary Ngalaba simu : 0718-733 711 au 0683-624 650

Ahsante kwa kuiendeleza tasnia ya kuku

Manase Mrindwa
Katibu
Tanzania Poultry Breeders Association (TPBA)

daaaaaa ndo naiona nimechelewa
 
pamoja na kuisifia soya haina magonjwa ya tumbo kwa kuku lakini wadau gharama ya kuikaanga kisha kuisaga bado sioni inalingana na dagaa. Maybe hii ni applicable ambako dagaa ni adimu ila kwa Tanzania? Hebu tujadili hili
 
Kwa huku kwetu mimi naona kutumia soya nikuongeza gharama. Dagaa wanatosha.pia kuna sehemu nilisoma huko ulaya wanataka free soy feed.bado naendelea kutafuta soya inatatizo gani hadi watafute mbadala?
 
kumbe na we umeona ehh? Soy ina allergy kwa baadhi ya watu na endapo utalisha kuku inabaki kwa wingi tu kwenye mayai na nyama. Ukiacha hilo inasadikiwa kusababisha high estrogen level na kuletelezea breast cancerikiliwa na watoto na vijana. Tatu inaleta infertility kwa wanyama, ndege hata binadamu.
 
Nashukuru sis kwa taarifa, wazungu bwana vitu vikishaonekana kuwa na madhara huko kwao wanavileta kwetu na sifa kemkem. Tuwe makini tuache kukurupukia vitu.
 
ni kweli mwanzo hata wao waliishabikia wakisema ina cholesteral ndogo hivyo kupunguza magonjwa ya moyo. Ila kuja utafiti ikaonekana ukilisha mifugo inabaki kwa wingi ktk nyama na mayai kiasi ni sawa na kula soy meal hata kama hupendi. Kwakweli labda nzuri kwa broiler ila kienyeji au chotarawakiwa infertile tena?
 
Mhhhuuuu! Kienyeji wawe infitile si ndiyo kupiga mateke kama yule jamaa wa uzi flani humu jamvini.
 
ahahaaa ufagio paaa kwanini hamchakariki heheee full comedy. Ila usije iacha inasehemu yake kwenye chakula cha kuku hata watu sema tu sio mbadala wa dagaa au kuitumia nyingi.
 
Mama Joe Upo. Tumekumis sana hapa
 
Back
Top Bottom