Mafunzo ya kutengeneza mashine za utotoleshaji(incubator)

Niajekukufarm

Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
18
Reaction score
5
Niaje kuku farm inakukaribisha wewe mfugaji mdogo na wa kati mwenye ndoto za kukuwa kwa speed nzur na kupata faida kwenye ufugaji wako katika mafunzo ya utengenezaji wa mashine za utotoleshaji(incubators)yatakayo anza tarehe 07/02/2021.
  • Mwisho wa mafunzo haya utaweza kujitengenezea mashine za mafuta ya taa na za umeme yenye uwezo wa kugeuza mayai bila kuifungua kupitia vitu rahisi vilivyopo kwenye mazingira yako na zile special yaan kila mtu kwa uwezo wa kipato chake.
  • Mafunzo haya yatafanyika online kupitia what's app kwa kiingilio cha tsh 10,000,
  • serious people mawasiliano yako apo chini
- Mwisho wa mafunzo kutakuwa na challenge atakaeshinda atazawadiwa mashine iliyotengenezwa kipindi cha mafunzo
  • Kumbuka utaokoa kiasi kikubwa cha fedha kwa kutengeneza mwenyewe mashine yako badala ya kununua mpya
  • Unaweza kuzitengeneza na wewe ukaziuza
  • Utajiongezea kipato kwa kuuza vifaranga wa aina mbalimbali kama kuku wa aina zozote kanga,kware,bata,njiwa nk...
Mawasiliano na maswali +255684652636
Email:niajekukufarm@gmail.com
Niajekuku facebook/instagram
 
IMG_20210128_145326.jpg
 
Niwe jela kwann mkuu?
Baadhi ya wajasiliamali walikuja na gia na kiingilio cha sh elfu 10 kama ww,wakaishia kutapeli watu.
Walipokamatwa wakapewa kesi ya kuhujumu uchumi.
Mnakuja na approaching nzuri,sijui ni pepo gani huwaingia mkishaanza kula viingilio.
 
Siko ivyo mkuu, angalia number email na ata izi social pages mkuu ni legit google location pia niko open,na hii sio biashara ninayofanya biashara kuu apo ni mayai na kuku kutumia jina na address iyo iyo,mkuu wangu sio utapeli bali elimu tu kuwafungulia njia wajasiriamali wenzangu,changamoto za kukua zilitatulika kwangu kwa njia hii
 
Kama ni hivyo basi vyema,msingi mkubwa wa kujiongezea leaner's base ni uaminifu kwanza.
Utafika mbali na wengi watanufaika.
 
Baadhi ya wajasiliamali walikuja na gia na kiingilio cha sh elfu 10 kama ww,wakaishia kutapeli watu.
Walipokamatwa wakapewa kesi ya kuhujumu uchumi.
Mnakuja na approaching nzuri,sijui ni pepo gani huwaingia mkishaanza kula viingilio.
Siko ivyo mkuu, angalia number email na ata izi social pages mkuu ni legit google location pia niko open,na hii sio biashara ninayofanya biashara kuu apo ni mayai na kuku kutumia jina na address iyo iyo,mkuu wangu sio utapeli bali elimu tu kuwafungulia najianda wajasiriamali wenzangu,changamoto za kukua zinatatulika ivyo
Kama ni hivyo basi vyema,msingi mkubwa wa kujiongezea leaner's base ni uaminifu kwanza.
Utafika mbali na wengi watanufaika.
Ilo ndo lengo kuu mkuu, kukua kuwepo kwenye aina hii ya biashara mwisho kuwa kampuni,uaminifu lazma mkuu, kuna baadhi wa apa jf wamejiunga naamini wataleta mrejesho mzur na safari itaanzia apo, nashukuru kwa kujali kwako nduguu
 
  • Thanks
Reactions: 1gb
Mkuu nakupongeza Sana KWA hatua hizi. Watu kama nyinyi mna mchango mkubwa sana katika kuukuza uchumi wa nchi na kuleta mapinduzi katika sector ya ufugaji hapa nchini. Ni rai yangu watu kama nyinyi mpewe support. Na nyinyi pia muwe waaminifu. Ukiwa mwaminifu utafika mbali. Nitajiunga na Mimi nione uyafanyayo Ili nilete mrejesho hapa.
 
Nakushauri pia upite na kwenye jukwaa la kilimo na ufugaji. Idea nzuri Sana hii, sio tunategemea wakenya KWA KILA kitu
 
Niaje kuku farm inakukaribisha wewe mfugaji mdogo na wa kati mwenye ndoto za kukuwa kwa speed nzur na kupata faida kwenye ufugaji wako katika mafunzo ya utengenezaji wa mashine za utotoleshaji(incubators)yatakayo anza tarehe 07/02/2021.

  • Mwisho wa mafunzo haya utaweza kujitengenezea mashine za mafuta ya taa na za umeme yenye uwezo wa kugeuza mayai bila kuifungua kupitia vitu rahisi vilivyopo kwenye mazingira yako na zile special yaan kila mtu kwa uwezo wa kipato chake.
  • Mafunzo haya yatafanyika online kupitia what's app kwa kiingilio cha tsh 10,000,
  • serious people mawasiliano yako apo chini

- Mwisho wa mafunzo kutakuwa na challenge atakaeshinda atazawadiwa mashine iliyotengenezwa kipindi cha mafunzo

  • Kumbuka utaokoa kiasi kikubwa cha fedha kwa kutengeneza mwenyewe mashine yako badala ya kununua mpya
  • Unaweza kuzitengeneza na wewe ukaziuza
  • Utajiongezea kipato kwa kuuza vifaranga wa aina mbalimbali kama kuku wa aina zozote kanga,kware,bata,njiwa nk...

Mawasiliano na maswali +255684652636
Email:niajekukufarm@gmail.com
Niajekuku facebook/instagram
Baada ya muda tutasikia upo gela, mr kuku amerudi kivingine
 
Mkuu nakupongeza Sana KWA hatua hizi. Watu kama nyinyi mna mchango mkubwa sana katika kuukuza uchumi wa nchi na kuleta mapinduzi katika sector ya ufugaji hapa nchini. Ni rai yangu watu kama nyinyi mpewe support. Na nyinyi pia muwe waaminifu. Ukiwa mwaminifu utafika mbali. Nitajiunga na Mimi nione uyafanyayo Ili nilete mrejesho hapa.
Asante Sana mkuu, karibu tusaidiane kujikwamua na kuinua uchumi wa nchi yetu
 
Mo
Nakushauri pia upite na kwenye jukwaa la kilimo na ufugaji. Idea nzuri Sana hii, sio tunategemea wakenya KWA KILA kitu
Mode wameiweka apa, this is more of huduma,na kweli kuna mpka watu wamenipigia simu kunitisha na Wengine kunikatisha tamaa kwa aina mbalimbali tena watanzania wenzetu sijui kwann tunakuwa negative sana yaan,imagine incubator ya mayai 60 mtu anakuuzia 250k-350k tena nyingi ni imported ambayo ikaharibika utalipia service yake then inatokea nafasi yako kujifunza kutengeneza mwenyewe mtanzania then tunatishana na kukatishana tamaa,sielewi asee
 
Baada ya muda tutasikia upo gela, mr kuku amerudi kivingine
Acha kukariri maisha nduguyangu inakuwaje unawaza negative tu,i'm just me keeping it real Mimi sio Mr kuku na sioni kosa langu kujaribu kutimiza wajibu kwa wale wenye uhitaji, think big, start small, start now
 
Mkuu unaweza kuweka hapa picha ama video clip ya unachofanya?? Am interested lakini sioni hata video clip ya hizo incubator
 
Hii apo ni mmoja ya machine very simple instructions uwezo wa mayai 45 na apo ndo ilikuwa day 21 mapema tu kuku wanatoka
 
Attachments

  • SAM_0044.MP4
    28.5 MB
Back
Top Bottom