Niaje kuku farm inakukaribisha wewe mfugaji mdogo na wa kati mwenye ndoto za kukuwa kwa speed nzur na kupata faida kwenye ufugaji wako katika mafunzo ya utengenezaji wa mashine za utotoleshaji(incubators)yatakayo anza tarehe 01/03/2021,
-Mwisho wa mafunzo haya utaweza kujitengenezea mashine za mafuta ya taa na za umeme yenye uwezo wa kugeuza mayai bila kuifungua kupitia vitu rahisi vilivyopo kwenye mazingira yako na zile special yaan kila mtu kwa uwezo wa kipato chake.
-Mafunzo haya yatafanyika online kupitia what's app kwa kiingilio cha tsh 10,000,
-serious people mawasiliano yako apo chini
-Kumbuka utaokoa kiasi kikubwa cha fedha kwa kutengeneza mwenyewe mashine yako badala ya kununua mpya
-Unaweza kuzitengeneza na wewe ukaziuza
-Utajiongezea kipato kwa kuuza vifaranga wa aina mbalimbali kama kuku wa aina zozote kanga,kware,bata,njiwa nk...
Mawasiliano na maswali +255684652636
Email:
niajekukufarm@gmail.com
Niajekuku facebook/instagram