Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa

Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa

Status
Not open for further replies.
Namba yangu nilishakutumia nami namba yako ninayo; kesho nitahitaji hicho kitabu ili nianze kujifunza - najua kitanisaidia. Hakikisha kesho uko online mkuu - mida ya saa 4:0 asubuhi.
 
umeamua kujitoa mzimamizima sasa hiyo kwenye avatar yako ni wewe original au copy?
Namba yangu nilishakutumia nami namba yako ninayo; kesho nitahitaji hicho kitabu ili nianze kujifunza - najua kitanisaidia. Hakikisha kesho uko online mkuu - mida ya saa 4:0 asubuhi.
 
wakuu embu wekeni basi ushuhuda aliyenufaika na huyu mdau
 
wakuu embu wekeni basi ushuhuda aliyenufaika na huyu mdau

Kusema ule ukweli baada ya kununua hiki kitabu kimenifunza mambo mengi sana kuhusu biashara ya mkaa sana sana jinsi ya kutengeneza bila kuwa na ulazima wa mashine. Kimeniwezesha kuanza kutengeneza mkaa kwa mtaji mdogo sana. Nimetengeneza vipisi kadhaa vya kujaribu kupikia na nimeweza kupikia nyama. Kwa hiyo sasa nimeanza production rasmi. Nakushauri ukinunue kama utaweza
 
Naomba contact ya huyo anayeuza hivyo vitabu vya namna ya kutengeneza mkaa,
 
TANGAZO MUHIMU: Kutokana na support mliyonionyesha tokea nilipo post hii topicn nimeona nitoe offer maalum kwa ajili ya wana-JF. Kwa kuwa mimi ni mjasiriamali na kutokana na maombi yenu, kuanzia kesho tarehe 18 mpaka 28 mwezi huu natoa ofa maalum. Kwa atakayenunua kitabu cha jinsi ya kutengeneza mkaa atapata kitabu cha ujasiriamali BURE. Katika kitabu hiki cha ujasiriamali kimejaa siri wazitumiazo wajasiriamali wakubwa kufanikiwa ambazo wajasiriamali wadogo hawazijui wala hawazitumii ndio maana wanabaki kuwa wajasiriamali wadogo.

Kitabu hiki sio kitabu cha kukufundisha jinsi ya kufanya biashara ila ni vitu gani vinne tu ambavyo wajasiriamali wakubwa ambao wameanza na mtaji mdogo kama wewe ulivyoanza lakini ghafla wanakuacha nyuma na wao wanafanikiwa ila wewe unabaki kuwa mjasiriamali mdogo.

Namba angu ni ile ile 0758 308193.
 
Mkuu ni jioni hii nimenunua kitabu kwako, na umetangaza kutoa offer ya nakala nyingine kwa watakaonunua kesho, sasa naomba nami unisaidie nakala moja.
 
Mkuu ni jioni hii nimenunua kitabu kwako, na umetangaza kutoa offer ya nakala nyingine kwa watakaonunua kesho, sasa naomba nami unisaidie nakala moja.

Poa nitumie email nyako kwa PM ili nikutumie ile free copy
 
hii ni fulsa tuichangamkie

Nakumbuka kuna kipindi cha nyuma kuna mwandishi mmoja wa gazeti aliandika makala moja kwenye gazeti akiongelea uchangamkiaji wa fursa za maendeleo kwa watanzania. Akawa anasema watu walioendelea nchini ni wale tu wanaochangamkia fursa za maendeleo. Akamnukuu mmoja wa maraisi wastaafu wa TZ aliyeisema ''watanzania ni wagumu kuchangamkia fursa za maendeleo, na waliozichangamkia walifanikiwa kimaisha''. Tuchangamkieni nafasi hizi jamani.
 
Kitabu kingine ambacho ni kizuri saaaana kwa kusaidia kupanua mwelekeo wa kukidhi mahitaji ni
The Richest Man in Babylon
Hebu cheki hii '' the five law of Gold''
1. gold come gladly md increase its quantity to any man who will put aside/save 1/10 of his earning to create an estate for his future & that of his family
2. Gold work hard & contentedly for the wise owner who find for it a profitable investment/employment,multiplyinf even flocks of the field
3. Gold clingthen to the protection of the cautious owner who invests it under the advise of men wise in its handling
4. Gold slippeth away from the man who invests it in business or purposes with which hes not familiar or which are not approved by those skilled in its keep
5. Gold flees the man who would force it to impossible earning or who foloweth the alluring advice of trickster and schemers who trust it to his own inexperience and romatic desire in investment

Hiki kitabu ni my second bible
 
mimi nimesha wasiliana na mshikaji kwa uaminifu wake kanitumia kitabu tayari na nimekisoma si kirefu sana nikifupi(si unajua watu tu wavivu wa kusoma) tena kiko katika lugha ya kishwahili.nimeamka asubuhi naanza kufanya kwa vitendo ili ninipime kutengeneza mkaa kiasi wa kutumia nyumbani,ndio nimemaliza sasa nimeanika na kwa mujibu wa mtalaam inatakiwa uanikwe siku tatu ndio uanze kutumika....nangoja kwa hamu sana
 
Sio kila mtanzania anajua kiingereza
 
Hongera sana. Nakutakia mafanikio mema
 
Nimekipenda hicho kitabu cha siri 4 za ujasiriamali ambazo wajasiriamali wakubwa wanazitumia ambazo wajasiriamali wengi wadogo hawazijui. Kimenifungua macho sana. Mungu akubariki sana.
 
Wakati nilipokuwa nafikiria kujishughulisha na hii biashara baada ya kupata wazo hili, niliamua kufanya research kujua ukubwa wa hii biashara hapa nchini na competition yake. Nikaja kugundua kuwa soko lake ni kubwa mno. Na nilifurahi sana nilipokuja kuiona hii post ya huyu mdau humu na hiki kitabu chake kilichonisaidia sana kuanzisha biashara yangu.

Kumbe hapa nchini kuna makampuni makubwa yanayotengeneza huu mkaa wa kisasa nilikuwa sijui kabisa. Inaonekana makundi na wafanyabiashara wengi kukicha wanaingia katika hii business. Kwa mujibu wa report iliyotolewa Feb 2013 na shirika la EEP (Energy and Enviroment Partnership) kwa kushirikiana na Umoja wa Mataifa, UKAid, serikali ya Finland na Development Bank of Southern Africa iitwayo ANALYSING BRIQUETTE MARKETS - TANZANIA, KENYA AND UGANDA unaonyesha kuwa Tanzania ina makampuni makubwa 4 yanayotambulika kimataifa yanayotengeneza mkaa huu ambayo ni East Africa Briquette company Ltd ya Tanga (inazalisha tani 2 kwa siku), ARTI Tanzania Ltd, Kilimanjaro Industrial Development Trust (KIDT) na Bagamoyo Brikwiti Company (inayozalisha tani 9.6 kwa mwezi). Biashara hii inakuwa kwa kasi ya ajabu nchini.

Nimeamua kuandika haya ili kuwaonyesha kuwa interest ya kutengeneza mkaa huu kwa watu wengi nchini imeongezeka kwa asilimia 68% kwa kipindi cha 2011 – 2012 pekee.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom