Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa

Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa

Status
Not open for further replies.
Ila nimepitwa kidogo kwenye issue ya maua. please nipe hints kdogo na namna ya kupata hiyo video tena. Ila ntafanya hapa hapa dar
 
Jamani hebu tuache kutaka kulishwa bure kila kitu. Mkuu Biashara2000 nashukuru mie kwa ile video ya mkaa nimepata kweli mwanga. Sasa nimepata machine ya kuzalisha mkaa kwa wingi pamoja na elimu ya kuuboresha zaidi. Nimekuwa mpya na sijutii ile 10000 niliyotoa kabisa. Ntaanza kuuza mkaa wangu juma lijalo.Mwanzo hapa mtaani waliniona kama chizi niliyechanganyikiwa na maisha kwa sababu inawia vigumu sana kuelewa unapomuona mtu mwenye degree akibeba raw materials za mkaa. Bt kwa hii business imenifungua. Niko kijitonyama mpakani B na natazamia zaidi soko la hapa mjini. Karibuni kwenye ujasiliamali

Nashukuru kwa post yako. Nimefurahi kuona hauwajali wanaoshangaa kijana mwenye degree akibeba raw materials za kutengeneza mkaa. Watabaki kushangaa siku wakiona una maendeleo na wao wamebaki pale pale. Kilichobaki sasa ni kutafuta masoko. Anza na wachoma chipsi wa mtaani kwenu kwa kuwa ushazoeana nao yjen ma baa nk. Pia jitangaze humu kwenye JF na Facebook maana wenye vibanda vya chips na wamiliki wa baa zenyewe wako humu.
 
Ila nimepitwa kidogo kwenye issue ya maua. please nipe hints kdogo na namna ya kupata hiyo video tena. Ila ntafanya hapa hapa dar

Kama sikukupa ile video ya kilimo cha maua, ni text email yako niku fowadie.
 
Mafunzo unayatoaje!!?? Unafuatwa ulipo or unamfuata mtu!!?? Na hiyo gharama Ni ya kumfuata mtu or kukufuata,Sor kwa maswali nimevutiwa sana
 
Kukufuata nikufundishe katika eneo lako ni sh. 45,000. Ila ukitaka nikutumie mafunzo kwa mfumo wa DVD na kitabu, nakutumia kwa email kwa sh. 10,000. Unachagua njia inayolingana na uwezo wako na mafunzo yote haya yanakuwezesha kuelewa kila kitu na kukuwezesha kuanza mradi hata kama una mtaji wa sh. 5,000
 
So kumbe unaweza hata kutuma kwa,njia ya e-mail???? Hii ni nzuri kwetu tulio mbali(nje ya tz) so naomba unitumie list ya video,za,mafunzo ulizonazo niweze chagua niipendayo
 
Hakuna haja ya kuchagua kwa kuwa utakaponunua mafunzo ya kutengeneza mkaa utapata material nyingine zote bure isipokuwa mafunzo ya greenhouse. Kwa sh 10,000 utapata material zifuatazo

1. Kitabu cha jinsi ya kutengeneza mkaa pamoja na video yake
2. Video ya mafunzo ya jinsi ya kufanya kilimo cha maua chenye faida (na hii si lazima uwe umejenga greenhouse)
3. Kitabu kinachoelezea siri kuu 4 wazitumiazo wafanyabiashara wakubwa kukuza biashara zao ambazo wajasiriamali wadogo hawazijui
 
Nimeshakutumia video ya kilimo cha maua. Pia ningekuomba kama utaweza ukishaanza mradi wako usisite ku share experience yako na wengine humu ndani isitoshe mradi wako uko hapa dar unaweza alika walioko karibu yako waje nao watembelee mradi wako, hata Mungu atakujaalia zaidi.
 
Pamoja kiongozi Biashara2000. Nitashare na wadau wote uzoefu wa mradi wa mkaa kwanza then huo wa maua. I aim higher now kaka.
 
Habari zenu wajasiliamali. Nami naomba msaada wa kupata mashine ya kutengejuzea mkaa. DVD nilishanunua, please. i
Jamani hebu tuache kutaka kulishwa bure kila kitu. Mkuu Biashara2000 nashukuru mie kwa ile video ya mkaa nimepata kweli mwanga. Sasa nimepata machine ya kuzalisha mkaa kwa wingi pamoja na elimu ya kuuboresha zaidi. Nimekuwa mpya na sijutii ile 10000 niliyotoa kabisa. Ntaanza kuuza mkaa wangu juma lijalo.Mwanzo hapa mtaani waliniona kama chizi niliyechanganyikiwa na maisha kwa sababu inawia vigumu sana kuelewa unapomuona mtu mwenye degree akibeba raw materials za mkaa. Bt kwa hii business imenifungua. Niko kijitonyama mpakani B na natazamia zaidi soko la hapa mjini. Karibuni kwenye ujasiliamali
 
Nimeshakutumia video ya kilimo cha maua. Pia ningekuomba kama utaweza ukishaanza mradi wako usisite ku share experience yako na wengine humu ndani isitoshe mradi wako uko hapa dar unaweza alika walioko karibu yako waje nao watembelee mradi wako, hata Mungu atakujaalia zaidi.
Mkuu nami nilishanunua kwako DVD ya greenhouse ukanipa na utengenezaji wa mkaa. Je naweza pata offer ya kujifunza upandaji wa maua?
 
Habari zenu wajasiliamali. Nami naomba msaada wa kupata mashine ya kutengejuzea mkaa. DVD nilishanunua, please. i

Ukitaka kununua mashine za mkaa zinaanzia laki 2. Wapigie wazungu hao kwa hii namba wako pale mbezi beach 0716 492712 ila kama ulinunua dvd yangu ya mkaa utakuwa umeona mama mmoja mule ndani anatumia mashine flani hivi iliyokuwa modified kutengeneza mkaa. Hata wewe unaweza tengeneza mashine kama ile kwa sh. 75,000 na ikazalisha kiwango kile kile kama hiyo ya laki 2
 
Nimekupata mkuu shukrani.
 
Ile mashine ya kutengenezea mkaa uliyonielekeza jinsi ya kuitengeneza mwenyewe, imeniwezesha kuweza kuzalisha gunia kubwa tatu za mkaa na nimefanikiwa kupata tenda ya kusambaza mkaa kwenye shule ya sekondari moja hapa mjini Morogoro. Nimefurahi sana kaka
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom