Mbepo yamba
JF-Expert Member
- Aug 5, 2012
- 1,262
- 1,773
Jamani hebu tuache kutaka kulishwa bure kila kitu. Mkuu Biashara2000 nashukuru mie kwa ile video ya mkaa nimepata kweli mwanga. Sasa nimepata machine ya kuzalisha mkaa kwa wingi pamoja na elimu ya kuuboresha zaidi. Nimekuwa mpya na sijutii ile 10000 niliyotoa kabisa. Ntaanza kuuza mkaa wangu juma lijalo.Mwanzo hapa mtaani waliniona kama chizi niliyechanganyikiwa na maisha kwa sababu inawia vigumu sana kuelewa unapomuona mtu mwenye degree akibeba raw materials za mkaa. Bt kwa hii business imenifungua. Niko kijitonyama mpakani B na natazamia zaidi soko la hapa mjini. Karibuni kwenye ujasiliamali
Ila nimepitwa kidogo kwenye issue ya maua. please nipe hints kdogo na namna ya kupata hiyo video tena. Ila ntafanya hapa hapa dar
Mafunzo unayatoaje!!?? Unafuatwa ulipo or unamfuata mtu!!?? Na hiyo gharama Ni ya kumfuata mtu or kukufuata,Sor kwa maswali nimevutiwa sana
So kumbe unaweza hata kutuma kwa,njia ya e-mail???? Hii ni nzuri kwetu tulio mbali(nje ya tz) so naomba unitumie list ya video,za,mafunzo ulizonazo niweze chagua niipendayo
mkuu email yangu ni dsdansan092@gmail.com
jamani nisaidie jinsi ya kutumiwa huu ujuzi. Nipo arusha.
Jamani hebu tuache kutaka kulishwa bure kila kitu. Mkuu Biashara2000 nashukuru mie kwa ile video ya mkaa nimepata kweli mwanga. Sasa nimepata machine ya kuzalisha mkaa kwa wingi pamoja na elimu ya kuuboresha zaidi. Nimekuwa mpya na sijutii ile 10000 niliyotoa kabisa. Ntaanza kuuza mkaa wangu juma lijalo.Mwanzo hapa mtaani waliniona kama chizi niliyechanganyikiwa na maisha kwa sababu inawia vigumu sana kuelewa unapomuona mtu mwenye degree akibeba raw materials za mkaa. Bt kwa hii business imenifungua. Niko kijitonyama mpakani B na natazamia zaidi soko la hapa mjini. Karibuni kwenye ujasiliamali
Mkuu nami nilishanunua kwako DVD ya greenhouse ukanipa na utengenezaji wa mkaa. Je naweza pata offer ya kujifunza upandaji wa maua?Nimeshakutumia video ya kilimo cha maua. Pia ningekuomba kama utaweza ukishaanza mradi wako usisite ku share experience yako na wengine humu ndani isitoshe mradi wako uko hapa dar unaweza alika walioko karibu yako waje nao watembelee mradi wako, hata Mungu atakujaalia zaidi.
Mkuu nami nilishanunua kwako DVD ya greenhouse ukanipa na utengenezaji wa mkaa. Je naweza pata offer ya kujifunza upandaji wa maua?
Habari zenu wajasiliamali. Nami naomba msaada wa kupata mashine ya kutengejuzea mkaa. DVD nilishanunua, please. i
Ukitaka kununua mashine za mkaa zinaanzia laki 2. Wapigie wazungu hao kwa hii namba wako pale mbezi beach 0716 492712 ila kama ulinunua dvd yangu ya mkaa utakuwa umeona mama mmoja mule ndani anatumia mashine flani hivi iliyokuwa modified kutengeneza mkaa. Hata wewe unaweza tengeneza mashine kama ile kwa sh. 75,000 na ikazalisha kiwango kile kile kama hiyo ya laki 2
Nakutumia mkuu sasahivi.Nitumie email yako kwa sms au pm ntakutumia usijali
Nimekupata mkuu shukrani.