Mwalimu wangu wa primary alikuwa ananambia lala hapo ananichapa matakoni,huku akisema sikuchapi wewe nachapa ujinga wako.
Bhasi akaniaminisha na mpaka leo najua ujinga upo matakoni,
Sasa nikimuona demu anamakalio(matako)makubwa najua kajaza ujinga tu [emoji38]