wandugu, kwa anayejua, tumeshafika mwezi july 2014, ninaye mdogo wangu amesoma nursing na ninahitaji akasomee mafunzo ya tfda ili nimpatie mtaji wa duka la madawa hapa mtaani. kwa yule anayeelewa, ratiba ya mafunzo ya tfda yale yanayozunguka mikoani ikoje, kwasasa hii ni mwezi wa saba, mwezi wa ngapi tena watakuwa wapi, mwenye kujua tafadhali help me on that.