MAFUNZO YA TFDA mwaka 2014 ratiba!!!!!!

MAFUNZO YA TFDA mwaka 2014 ratiba!!!!!!

AZUSA STREET

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2013
Posts
2,007
Reaction score
1,897
wandugu, kwa anayejua, tumeshafika mwezi july 2014, ninaye mdogo wangu amesoma nursing na ninahitaji akasomee mafunzo ya tfda ili nimpatie mtaji wa duka la madawa hapa mtaani. kwa yule anayeelewa, ratiba ya mafunzo ya tfda yale yanayozunguka mikoani ikoje, kwasasa hii ni mwezi wa saba, mwezi wa ngapi tena watakuwa wapi, mwenye kujua tafadhali help me on that.
 
jamaa yangu mmoja alienda hapa dsm walishafanya mwaka huu, sijui wapi watafanya tena mwaka huu ila yaweza kuwa sio dsm.
 
Back
Top Bottom