Nimefanya utafiti ktk vyuo vya serikali vinavyotoa diploma(stashahada) na certificate(astashahada) ya ualimu nimegundua yafuatayo 1,Elimu ngazi hizo ndizo zinafundisha sana namna ya mwl kufundisha hata kuliko wale wenye degree(shahada).
2. Walimu tanajali wananyanyaswa sana nakuwafanya kuathirika kisaikolojia kwa mfano wanapewa adhabu kama wanafunzi wa shule,wanachimba visiki,kwingine hata kutishiwa kupigwa viboko,
3. Mitahara imetengenezwa kwakumdidimiza mwalim na kumfanya akubali kila kitu hata kama nikibaya ndio maana walimu kugoma ni bado sana
3. Sare ni jambo lingine baya ambalo linawafanya wanafunzi kujisikia vibaya ni zile sare kwakua wengi hawapendi
4. fedha wanayopewa kwa wakati wa elimu ya vitendo ni ndogo mno kuwawezesha kumudu mahitaji yao ya kawaida
5. Walimu wa vyuoni ni miungu watu wanaogopeka kama ukoma na wanafunzi wao wakat wengine ni vijana wadogo sana kiumri
Nb mfumo mzima wa miongozo ya vyuo vya ualim inabidi iangaliwe upya mwisho wa utafiti huo