Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,912
- Thread starter
- #21
870kShort course ya excavator operator sh ngapi Ada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
870kShort course ya excavator operator sh ngapi Ada
870k
NdiyoKwa hyo kila mashine ina ada yake?au ukitoa 870 una fundishwa mashine zote
Nipo DIT hapa kwa sasa mkude umri umesogea sana..amebaki kutupa story za Ujerumani..Kila la kheri mkuu! Hope watu tutaleta vijana wetu.. nilikuwa mkali sana enzi zangu kwenye welding [emoji16][emoji16][emoji16] Mentor wangu alikuwa mtu mmoja anaitwa Mkude alikuwa German the DIT exerp kwenye eneo la welding yule mzee
Maswali mawili,jibu mojaNdiyo
kila mashine ina ada yake ..Yes hiyo 870k unajifunza mtambo mmoja huwezi jifunza mitambo yoteMaswali mawili,jibu moja
Nitakuja kuongeza ujuzikila mashine ina ada yake ..Yes hiyo 870k unajifunza mtambo mmoja huwezi jifunza mitambo yote
karibu sana... na tuna connection kubwa sana hutakaa mtaani once ukiwa na sisi..Nitakuja kuongeza ujuzi
Mimi excavator naweza.tatizo bado sijaingia kwenye mfumo.ila ngoja nitafute ada.niongezee ujuzi na nipate connectionkaribu sana... na tuna connection kubwa sana hutakaa mtaani once ukiwa na sisi..
LIST OF OUR CLIENTS S/NO CLIENT NAME SERVICE OFFERED
1 BARRICK NORTH MARA Training of Operators
2 Tanzania Portland Cement Co. Ltd (Twiga Cement) TPCPL Training of Operators
3 MANTRAC (T) LTD Training of Operators
4 Q-SOURCING (TZ) LTD Training of Operators
5 TCL SERVICES Training of Operators
6 TANGANYIKA RENTALS Training of Operators
7 CASPIAN Training of Operators 8 TANGA CEMENT CO. LTD Training of Operators
9 AFRICAN PARKS -DRC Training of Operators
10 MTIBWA SUGAR LTD Training of Operators
11 SERENGETI BREWERIS LTD Training of Operators
12 ARAB CONTRACTORS Training of Operators Consultation Services
13 Jac Rijk Training of Operators Consultation Services
14 SBC -PEPSI Training of Operators and Consultation Service
Mbona umejibu maswali mawili kwa ndiyo moja?Ndiyo
Mkuu mna kozi fupi ya Tower crane ?. Na mafuzo yenu yanaanzaga mwezi wa ngapi?.Short Courses
Long course
Short courses
- Welding and Fabrication level I and II
- Auto Electric level I and II
- Motor Vehicle Mechanics level I and II
- Truck Mechanics
- Plant Mechanics
Computer courses
- Operation of Motor Grader
- Operation of Hydraulic Excavator
- Operation of Roller
- Operation of Bulldozer
- Operation of Wheel Loader
- Operation of Forklift and Telehandlers (Man cage)
- Operation of Crane
- Operation of Dump Truck
www.ihet.ac.tz; principalihet@gmail.com
- Introduction to computer
- Computer Application
- Video Shooting
- Graphics Design