Mafunzo ya uhasibu (cpa)

UPOPO

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
3,563
Reaction score
5,687
Naomba mnijulishe sehemu zenye waalimu wazuri
Wanafundisha masomo ya uhasibu kwenye level
Ya module E na F.Hasa siku za weekends
 
Asante,wanapatikana wapi hapa Dar!
 
Ukijua naomba unifahamishe na mimi.
Wasiliana na huyu jamaa anaitwa Hope Mkaro namba yake ni 0713 - 499621 yupo Dar. Huyo ni teacher ni kifaa kama Msasila, alikuwa center ya Arusha ya Msasila sasa yupo Dsn ni noma. Kila la kheri katika safari ya Cpa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…