Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasiliana na huyu jamaa anaitwa Hope Mkaro namba yake ni 0713 - 499621 yupo Dar. Huyo ni teacher ni kifaa kama Msasila, alikuwa center ya Arusha ya Msasila sasa yupo Dsn ni noma. Kila la kheri katika safari ya Cpa.Ukijua naomba unifahamishe na mimi.