Ndugu wana JF natafuta mahali nitakapoweza kujifunza namna ya kutengeneza sabuni za maji, batiki na sabuni za magadi kwa gharama kidogo. Hivyo kama unafahamu mahali popote kwa dar es salaam wanapotoa elimu hii tafadhali naomba mnijulishe. NITAPITIA COMMENTS ZENU ZOTE KWA MAELEKEZO.