Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Yah nataka ile nikaenda yakeHizo hata mafundi wa mtaani wanatengeneza ila sio gypsum ni ile mikanda yake hasa wanaofanya kazi kwenye makampuni ya ujenzi
Ni kazi inayoweza kumtoa mtu kimaisha tujuze mkuuNenda kariakoo wanauza plate zake mpya ni laki 5 moja used 2.5-4.5 kutegemea na hali na ukubwa kuna myembamba na size ya kawaida. Kuna plate za maua ya urembo wa kati na pembeni... kuna fiber yarn ni nyuzinyuzi zinazotumika kuimarisha mkanda au urembo usivunjike na gypsum powder.
Baada ya kuwa na hivyo vifaa unatakiwa kuwa na pipa la maji, mabeseni ya kuchanganyia powder, meza ndefu na eneo la kivuli kuning'inizia mikanda wakati wa kukausha.
Bila shaka yoyote inakutoa, uzuri ukitengeneza kwa ubora sahihi order toka kwa wauzaji wa hardware zitakuzidia. Mungu akubariki ukianza ufanikiwe.Ni kazi inayoweza kumtoa mtu kimaisha tujuze mkuu