Mafunzo ya utengenezaji wa gypsum

Mafunzo ya utengenezaji wa gypsum

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2018
Posts
11,936
Reaction score
15,196
Habar kwenu wadau.

Naomba mwenye kujua wanapotoa mafunzo ya jipsyum/ sum mfano zile fito na urembo mwingine utokanao.

Nimejaribu kutafuta VETA na SIDO kote hamna.

Mwenye kujua tafadhali.
Shukran
 
Hizo hata mafundi wa mtaani wanatengeneza ila sio gypsum ni ile mikanda yake hasa wanaofanya kazi kwenye makampuni ya ujenzi
 
Mmh sido hawana hiyo kozi!!?.. labda Sasa hivi

Wanakuja wanaojua
 
Nenda kariakoo wanauza plate zake mpya ni laki 5 moja used 2.5-4.5 kutegemea na hali na ukubwa kuna myembamba na size ya kawaida. Kuna plate za maua ya urembo wa kati na pembeni... kuna fiber yarn ni nyuzinyuzi zinazotumika kuimarisha mkanda au urembo usivunjike na gypsum powder.

Baada ya kuwa na hivyo vifaa unatakiwa kuwa na pipa la maji, mabeseni ya kuchanganyia powder, meza ndefu na eneo la kivuli kuning'inizia mikanda wakati wa kukausha.
 
Ni kazi inayoweza kumtoa mtu kimaisha tujuze mkuu
 
Back
Top Bottom