Mafunzo ya vitendo kwa kutumia Mdoli wenye muonekano wa binadamu (Manikin) uliounganishwa na teknolojia

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Your browser is not able to display this video.
Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Grace Magembe akiangalia mdoli wenye muonekano wa binadamu (Manikin) ambao umeunganishwa na teknolojia inayowezesha mdoli huo kujieleza namna inavyoumwa wakati huduma ikitolewa.

Midoli hii ambayo inatumika kwa mafunzo kwa vitendo (Skills Lab) katika Chuo Kikuu cha Aga Khan nchini Pakistan huwawezesha wanafunzi na watoa huduma kuelewa kwa haraka hali ya mgonjwa na huduma stahiki ya kutolewa jambo ambalo ni muhimu kwa wanafunzi kujifunza kwa vitendo.




​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…