Soul21
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 210
- 351
Dhambi nyingine ni kutumia rasilimali za Serikali na mwisho kukosa matokeo stahiki.
Natamani nisilalamike Bali niseme tu. Napongeza wizara ya Elimu kwa jitihada kubwa katika Elimu. Na pili, niwakosea kwa kuendelea na ukiritimba Wa kale ili waweze kufuja pesa za Serikali huku watoto wakiambulia matokeo sifuri.
Serikali imetoa si chini ya billion 9 kwa akili ya semina tu ya Coding kwa walimu wote.
Hasara ni kuwa mafunzo yanawafikia walimu wachache wanaotaka posho na mwisho kukosa matokeo. Nilishauri hapa kuwa wizara irekodi video Bora na kuhimiza walimu kujifunza na pesa ya semina ielekezwe kununua vitu vya msingi kama computer kwa akili ya shule baadhi.
Lakini kwa Sasa walimu wamehudhuria semina na mwisho wanarudi shule ambayo Haina umeme Wala computer kutekeleza mafunzo.
Tuache uigizaji watanzania wenzangu kwani tunaumiza watoto na vizazi vinavyokuwa kwa maslahi ya posho.
Naomba wizara mbali na kufikiria posho waangalia kipaumbele kwanza Cha kuboresha mazingira ya kujifunzia hukua wakitumia wataalumu wao kufikisha Elimu kwa Njia ya mtandao ambayo itawafikia walimu wengi kuliko Sasa.
Mh. Mkenda jitihada zako ni kubwa naomba himiza matokeo ya vitendo kuliko siasa. Kauli ya raisi juu ya pesa aliyokubali iende Kwenye Elimu basi tumsaidie ilete matokeo haraka.
Asante japo Nina mengi zaidi.