Ibrahim daud
JF-Expert Member
- Feb 10, 2013
- 609
- 524
Apa mjini hapafai (city center)
lete ripoti ya eneo ulipo?
.......
lete ripoti ya eneo ulipo?
.......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka pichaApa mjini hapafai (city center)
lete ripoti ya eneo ulipo?
.......
😆😆😆😆Mchukua Video kapanda Boti gani au Meli nini,maana sio kwa namna chombo inavyokata mawimbi
😀😀😀 Napa pata hapo .pako low level sanaMwananyamala kwa Kopa tushaota mapezi
Itakuwa poa ukiwa mwanafunzi mwenzangumafuriko yanakuwa vipi tetesi ?
humu inabidi tuanzishe darasa la kiswahili
🤣😂😅😆😆😆😆
Tunahama saiz tunaenda kwa mjomba sele buzaVijumba vingi vya uswahilini kesho asubuhi kambare kibao
🏊🏊🏊Tetesi gani tena jamani? Hujaiona hii ya@Bujibuji
View attachment 1768159
Mchukua Video kapanda Boti gani au Meli nini,maana sio kwa namna chombo inavyokata mawimbi
Ulitaka iwe joboEti Tetesi
Kwanini Mipango ya marekebisho haifanyiki?Hapo ni karibu sana na bahari hivyo mipango ya marekebisho ya miundombinu ikifanyika maji yataelekezwa kirahisi baharini