Ibrahim daud
JF-Expert Member
- Feb 10, 2013
- 609
- 524
Weka pichaApa mjini hapafai (city center)
lete ripoti ya eneo ulipo?
.......
ππππMchukua Video kapanda Boti gani au Meli nini,maana sio kwa namna chombo inavyokata mawimbi
πππ Napa pata hapo .pako low level sanaMwananyamala kwa Kopa tushaota mapezi
Itakuwa poa ukiwa mwanafunzi mwenzangumafuriko yanakuwa vipi tetesi ?
humu inabidi tuanzishe darasa la kiswahili
π€£ππππππ
Tunahama saiz tunaenda kwa mjomba sele buzaVijumba vingi vya uswahilini kesho asubuhi kambare kibao
πππTetesi gani tena jamani? Hujaiona hii ya@Bujibuji
View attachment 1768159
Mchukua Video kapanda Boti gani au Meli nini,maana sio kwa namna chombo inavyokata mawimbi
Ulitaka iwe joboEti Tetesi
Kwanini Mipango ya marekebisho haifanyiki?Hapo ni karibu sana na bahari hivyo mipango ya marekebisho ya miundombinu ikifanyika maji yataelekezwa kirahisi baharini