Mafuriko Dar wa Salaam City Centre 29.04.2021

Dar imeishafikia ukomo wake, gharama za kurekebisha miundombinu iliyoachwa na mkoloni ingetosha kujenga mji mwingine wa kisasa. Hata hiyo miundombinu aliyojenga mkoloni, ilikuwa zahama tupu, maana vinyesi vyote vya jiji vilielekezwa baharini.

Mwaka 1982 nilipata kutembelea ufukwe wa hapo Magogoni, eneo lote la fukwe pale linapoingilia bomba kubwa la majitaka lilitapakaa vinyesi ... Sidhani kama kuna mabadiliko sasa maana hakuingiliki siku hizi.
 
Hukutapika?
 
Tatizo la Dar wapinzani wamechelewesha sana maendeleo 🤪😃
 

Hakika, Dar Es Salaam ingekuwa chini ya mkoloni hadi 2000s basi jiji lingekua kama Jo'Berg ya SA.
 
Hakika, Dar Es Salaam ingekuwa chini ya mkoloni hadi 2000s basi jiji lingekua kama Jo'Berg ya SA.
Joburg yenyewe imegeuka mavi matupu. Miafrika tuna shida sana, that City inafananishwa na Los Angeles lakini ndio waafrika wameigeuza mavi matupu. Ile Johannesburg Park Station mpaka kule maeneo ya wadangaji Hillbrow kumegeuka shida tupu. Magorofa yote wamejaa wahuni watupu pachafu overcrowded.
 
Bora leo kajua[emoji848]

Jana hii mvua imeniharibia mnoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…