Mafuriko Dar wa Salaam City Centre 29.04.2021

Ulikuwepo?

Mkoloni kaondoka 1961 akiiacha Dar ikiitwa mzizima, watu hawafiki hata elfu 50.

Maeneo mengi ni mapori tu yalikuwa.

Haya maandishi yako ni uchochezi tu
 
Mbaya zaidi hapo ndio city centre sasa huku maporomokoni kukoje? Mungu atunusuru na nasema atunusuru ila siku ikitokea kimbunga cha level 2 tu basi Dar itarudishwa nyuma miaka 25 au zaidi maana bati zote zitaenda na nyumba nyingi na barabara ndio kabisa na vile viwango vibovu tutaona maajabu. Ila naomba Mungu atuepushe na kitu kinaitwa Hurricane.
 
Nguvu ya pesa,Rushwa ndo vimeifikisha dar hapo ilipo. Watu wabishi wanajenga tu watakavyo. Sijui mjengoni kwa mzee machache patakua pamefurikaje kama hapo hako hivyo
 
Ulikuwepo?

Mkoloni kaondoka 1961 akiiacha Dar ikiitwa mzizima, watu hawafiki hata elfu 50.

Maeneo mengi ni mapori tu yalikuwa.

Haya maandishi yako ni uchochezi tu

uwe unasoma na kuelewa kilichoandikwa...
 
Nasikia jana mvua imepiga sana Dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…