Niliiona hiyo 2005, huwa inajirudia sanaMakanya, Same, Kilimanjaro, barabara haipitiki kwa sababu mvua imesababisha maji kupita juu ya daraja, na kusababisha msururu mrefu wa magari yanayotoka na kuingia Mkoa wa Kilimanjaro.
Mamlaka husika, hususani Mkoa wa Kilimanjaro, zichukue hatua za dharura kunusuru abiria na magari, na pia hatua za kudumu zichukuliwe, ikiwemo apanuzi wa daraja hapa Makanya.
Tumekwama hapa Makanya kuanzia saa tano usiku.
NB: Mamlaka husika Mkoa zikae standby, ikiwemo kuongoza magari, ili kuwepo na Usalama na kuepusha madhara.
Picha sijapiga ni usiku sana na mvua inanyesha bado.
Poleni sana kwa adha mliyoipataMakanya, Same, Kilimanjaro, barabara haipitiki kwa sababu mvua imesababisha maji kupita juu ya daraja, na kusababisha msururu mrefu wa magari yanayotoka na kuingia Mkoa wa Kilimanjaro.
Mamlaka husika, hususani Mkoa wa Kilimanjaro, zichukue hatua za dharura kunusuru abiria na magari, na pia hatua za kudumu zichukuliwe, ikiwemo apanuzi wa daraja hapa Makanya.
Tumekwama hapa Makanya kuanzia saa tano usiku.
NB: Mamlaka husika Mkoa zikae standby, ikiwemo kuongoza magari, ili kuwepo na Usalama na kuepusha madhara.
Picha sijapiga ni usiku sana na mvua inanyesha bado.
Usipoteze muda, nunua mkate ufungue kinywa.Bila picha Hii Ni chai TU Kama zingine
nimesoma miaka ya 90 huko, hii ilikuwa ni hali ya kawaida sana maji kupita juu ya barabara au reli hasa hilo eneo na kipindi hicho mvua ni nyingi tofauti na sasa.Bila picha Hii Ni chai TU Kama zingine
Kuna gari aina ya. Fuso Bus ilikuwa imebeba maiti imesombwa na maji hadi kwenye kingo za barabara. Nimeacha abiria wakitolewa kupitia dirishani. Dereva wa Fuso alikuta foleni iliyotokana na mafuriko, ila yeye akajaribu kutanua ambapo gari ilizidiwa na kusombwa.Vipi kwa sasa hali ikoje?
Dereva wa Fuso deal zao Fujo!!!Kuna gari aina ya. Fuso Bus ilikuwa imebeba maiti imesombwa na maji hadi kwenye kingo za barabara. Nimeacha abiria wakitolewa kupitia dirishani. Dereva wa Fuso alikuta foleni iliyotokana na mafuriko, ila yeye akajaribu kutanua ambapo gari ilizidiwa na kusombwa.
Madereva wengine walisubiri maji yakapungua ndipo tukapita salama.
Mara nyingi mafuriko pale hua yanasababishwa na mvua zinazonyesha juu kule milimaniAjabu sana mwaka huu. Hayo maeneo ya Same na Makanya kuna ukame wa hali ya juu. Lakini pamoja na upungufu wa mvua katika maeneo mengi ya nchi yaliyokua yanapata mvua za kutosha eti leo hii Same na Makanya kumekua na mvua nyingi hadi zimeleta mafuriko
Hamna picha?Makanya, Same, Kilimanjaro, barabara haipitiki kwa sababu mvua imesababisha maji kupita juu ya daraja, na kusababisha msururu mrefu wa magari yanayotoka na kuingia Mkoa wa Kilimanjaro.