Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bahati mbaya zimelowa.Hamna picha?
Unataka picha kwenye mafuriko! Wewe pi...bi kweli, tangu lini maji yakawa na urafiki na picha.Bila picha Hii Ni chai TU Kama zingine
Unakaza ubongo, mafuriko inategemea na jiografia ya mahali husika wingi au uchache sio factor pekeeTuliambiwa mvua zitakuwa kubwa mikoa ya Morogoro , Pwani,Dar es Salaam, na Zanzibar. Morogoro ni Manyunyu...Kilimanjaro ambayo haimo kwenye orodha ni mafuriko!!
Kwa hiyo mkoa wa Kilimanjaro mvua ni ya manyunyu lakini milima ndiyo umegeuza manyunyu kuwa mafuriko.Unakaza ubongo, mafuriko inategemea na jiografia ya mahali husika wingi au uchache sio factor pekee
Makanya ni milima imezunguka hivyo maji yanatorokea katikati ambapo ndio barabarani
Maji ya mafuriko huwa yanatoka milimani huko, Chome, Tae, Vudee, Suji, Bwambo, Mamba na kwingine. Mvua ikipiga vizuri milimani, huko chini lazima kinuke.Ajabu sana mwaka huu. Hayo maeneo ya Same na Makanya kuna ukame wa hali ya juu. Lakini pamoja na upungufu wa mvua katika maeneo mengi ya nchi yaliyokua yanapata mvua za kutosha eti leo hii Same na Makanya kumekua na mvua nyingi hadi zimeleta mafuriko
Aisee, kumbee!!!Maji ya mafuriko huwa yanatoka milimani huko, Chome, Tae, Vudee, Suji, Bwambo, Mamba na kwingine. Mvua ikipiga vizuri milimani, huko chini lazima kinuke.
Kwa hiyo mkoa wa Kilimanjaro mvua ni ya manyunyu lakini milima ndiyo umegeuza manyunyu kuwa mafuriko.
Asante sana kwa ufafanuzi, tangu sasa nitalegeze ubongo.
Tumekupata Hassan Ngoma,,Mkuu wa Wilaya mchovu!!!Makanya, Same, Kilimanjaro, barabara haipitiki kwa sababu mvua imesababisha maji kupita juu ya daraja, na kusababisha msururu mrefu wa magari yanayotoka na kuingia Mkoa wa Kilimanjaro.
Mamlaka husika, hususani Mkoa wa Kilimanjaro, zichukue hatua za dharura kunusuru abiria na magari, na pia hatua za kudumu zichukuliwe, ikiwemo apanuzi wa daraja hapa Makanya.
Tumekwama hapa Makanya kuanzia saa tano usiku.
NB: Mamlaka husika Mkoa zikae standby, ikiwemo kuongoza magari, ili kuwepo na Usalama na kuepusha madhara.
Picha sijapiga ni usiku sana na mvua inanyesha bado.