Mafuriko makubwa yatokea kwenye Jimbo la Rivers nchini Nigeria, Mamba na wanyama wengine waonekana wakiogelea mitaani

Mafuriko makubwa yatokea kwenye Jimbo la Rivers nchini Nigeria, Mamba na wanyama wengine waonekana wakiogelea mitaani

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakazi wa Jimbo ya Rivers nchini Nigeria wanasema wanakabiliwa na mafuriko mabaya zaidi kuwahi kutokea katika miaka ya hivi karibuni.

Katika baadhi ya jamii, maji ya mafuriko yamezama nyumba, kuyakimbiza familia na kuacha barabara zikiwa hazipitiki.

Baadhi ya wakazi wameliambia shirika la BBC kuwa hata nyoka, mamba na wanyama wengine wanaotambaa wameonekana wakiogelea katikati ya mitaa na kuingia ndani ya nyumba

 
Kwa kweli hii ni ngori, dudubaya wanaogelea kwa mutaa.

Serikali ya Nigeria ako kazi ha kufanya ili kurudisha mambo sawa.
 
Back
Top Bottom