Mafuriko Msimbazi Dar: Mwarobaini watua Ofisi ya Rais

Mafuriko Msimbazi Dar: Mwarobaini watua Ofisi ya Rais

Hii itakuwa Masters ya mtu.Asante kwa kutushirikisha,bonge la Literature review ya baadae kwa vijana.
 
Asante kaka kwa updates,mimi ni kati ya watu wanaoufutilia kwa krb huu,mradi pesa inayohitajika ni nyingi sana imenipa wasiwasi kama kweli tutaweza kuutekeleza.usiache kutujuza baada ya tathimini ya TAMISEMI na WIZARA YA FEDHA.Shida nyingine watanzania ni wazito sana kwny PPP.
 
Hii ni habari njema, utekelezaji ufanyike Japo mipango imeanza zama hizo,tutapongeza awamu ya tano endapo utekelezaji utaanza.
Japo kwa design mradi sio economy Tzs 255 Trillion!? Utekelezaji wake hauwezekani sioni mbia serious kuungana na awamu hii ya tano.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani amekosea,$114mln haziwezi kuwa Tril225 hapo lazima icheze kwenye bln.
 
ANALYSIS YA NGUVU SANA..
Najiuliza hakuna Mkakati wa Muda Mfupi wa kututoa kwenye adha za kila mwaka za Mafuriko?
 
Mama atafute mambo mengine yakufanya yenye tija kwa taifa
 
Back
Top Bottom