Mafuriko na Ugeni wa Kimataifa wakwamisha hatima ya Wanafunzi wa KIU

Mafuriko na Ugeni wa Kimataifa wakwamisha hatima ya Wanafunzi wa KIU

Joined
Oct 10, 2014
Posts
14
Reaction score
4
Kwanza niwape pole wahanga wa mafuriko yanayoendelea jijini DAR,tuko pamoja na Mungu yuko pamoja nanyi.

Leo ilikuwa ni siku ya kujua hatima ya sakata hili la Kampala kama ilivyoahidiwa na serikali, lakini mnamo majira ya saa tano asubuhi mkuu wa wilaya alipiga simu kuwataarifu wanafunzi yakuwa amepata dharura kwamba leo Rais atatembelea sehemu zilizoathiriwa na mafuriko.

Hivyo ikiwa kama mkuu wa wilaya ya ilala ambae wilaya yake ni moja ya wahanga pia kesho kutakuwa na ugeni wa kitaifa wa marais toka nchi jirani hivyo kutokana na hali hii asingeweza kufika hivyo kaahidi kufika alhamisi ya wiki hii.
 
poa kaka,tunawaombea Mungu itafahamika tu,komaeni vijana,usisahau kutupa mrejesho iyo alhamic.
 
Tunasubiri hiyo tarehe 14/05/2015,.tuone maamuzi ni yapi,japo kuwa naona hii semester hakuna tulicho soma,ukizingatia wengine wanaanza Rotation soon
 
Back
Top Bottom