Mafuriko Rufiji | Wananchi wamlilia Rais Magufuli

Mafuriko Rufiji | Wananchi wamlilia Rais Magufuli

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
March 18, 2020

LIVE: MAFURIKO RUFIJI | WANANCHI WANAVYOMLILIA JPM

Wananchi wa Rufiji mkoani Pwani waamua kujitokeza baada ya kuona hakuna hatua za dhati za viongozi wa maeneo yao kuifahamisha serikali kuu kuchukua majukumu kuwasaidia.

Serikali ya CCM Mpya vilio hivi vya wana Rufiji visifunikwe ili mbali ya serikali kuu, hata waTanzania wenye moyo wa kujitolea wafahamishwe hali hii tete ili kuweza kuwanusuru na kuwahifadhi waTanzania wenzao.

Source: Jamvi online TV
 
Mwendo kasi hadi kibaha! Ubungo interchange! SGR mpaka Dodoma, daraja la masaki hadi posta kupitia baharini, daraja LA busisi mwanza 3.5km kupitia ziwa Victoria, elimu bure, masoko ya kisasa Dar (magomeni, tememe, machinjio),

Makazi mapya ya askari magereza na polisi nchi nzima, mahospitali, na zahanati mpya, hostel za wanafuzi UDSM, umeme hadi vijijini wa REA, n.k, n.k. ANAYEMLAANI RAIS DR. JOHN POMBE MAGUFULI NI PUNGUANI NA KICHAA NA TAYARI ANAKUWA AMELAANIWA!
 
Huu utawala wa Magufuli umefeli huu ndio mwaka wa kuwaondolea mbali na mikosi yao

Chagua Tundu Lissu 2020
Magufuli analeta mvua ya mafuriko ,ndiyo analeta matetemeko ,ndiyo analeta njaa, ndiyo analeta kila lililo baya / yaani ukifikia akili za kise****ge namna hii ujue umeishiwa kweli vitu vywa asili mbowe ndiyo ataweza kuzuia? mafuliko mbowe atazuia?

Acheni ufala mwacheni jpm afanye kazi ambayo hamuwezi kuifanya hata akija na huyo shoga wenu wa aliyekimbilia ulaya acheni ufala
 
magufuli analeta mvua ya mafuriko ,ndiyo analeta matetemeko ,ndiyo analeta njaa, ndiyo analeta kila lililo baya / yaani ukifikia akili za kise****ge namna hii ujue umeishiwa kweli vitu vywa asili mbowe ndiyo ataweza kuzuia? mafuliko mbowe atazuia? acheni ufala mwacheni jpm afanye kazi ambayo hamuwezi kuifanya hata akija na huyo shoga wenu wa aliyekimbilia ulaya acheni ufala
Povu halisaidii tusaidiane kuuondoa utawala huu wenye mkosi na nuksi mbalimbali
 
Tokea Awamu ya tano ijisimeke madarakani ilikaribishwa na matetemeko ya ardhi huko kanda ya ziwa
Mikosi baada ya nuksi upigwaji risasi na upotevu wa wanasiasa umekuwa kitu cha kawaida

Huku viongozi mbalimbali wakikanusha kila kitu

Karma karma karma karma karma karma inanyong'onyea
 
Povu halisaidii tusaidiane kuuondoa utawala huu wenye mkosi na nuksi mbalimbali
Ndo maana hii Avatar ilimiminiwa pyuuu! Pyuuuu! za kutosha kibaraka wa mabeberu na mapandikizi yake kama hili!
 
March 18, 2020

LIVE: MAFURIKO RUFIJI | WANANCHI WANAVYOMLILIA JPM

Wananchi wa Rufiji mkoani Pwani waamua kujitokeza baada ya kuona hakuna hatua za dhati za viongozi wa maeneo yao kuifahamisha serikali kuu kuchukua majukumu kuwasaidia.

Serikali ya CCM Mpya vilio hivi vya wana Rufiji visifunikwe ili mbali ya serikali kuu, hata waTanzania wenye moyo wa kujitolea wafahamishwe hali hii tete ili kuweza kuwanusuru na kuwahifadhi waTanzania wenzao.

Source: Jamvi online TV

Wapambane na hali yao. Serikali ya awamu ya 5 haileti mafuriko
 
Hayo maji c wayapeleke stiglers

MKUU WA WILAYA - RUFIJI NA MRADI WA STIEGLER'S GORGE ZAATHIRIKA NA MAFURIKO

Vijiji vyakumbwa na mafuriko, njia ya kupeleka vifaa na zana za ujenzi ktk mradi mkubwa wa umeme bwawa la Nyerere maarufu kama Stiegler's Gorge Rufiji haipitiki amesema mkuu wa wilaya ya Rufiji Mh. Mohamed Mchengerwa wakati akiongea na waandishi wa habari.

Kata zote kumi na tatu za wilaya ya Rufiji mkoa wa Pwani zimeathirika na mafuriko. Maeneo yote ktk tarafa za Muhoro, Ikwiriri , Mkongo pia zimeathirika.

Mvua zinazoendelea ktk Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania, pia mkoa wa Morogoro zinatiririsha maji mengi ktk mto Ruaha, Ruaha Mkuu, Kilombero na Rufiji hivyo kuleta mafuriko maeneo ya Rufiji mkoani Pwani, Tanzania.
source: DOM 27 ONLINE TV
 
Bonde la nyerere likianza kuzalisha umeme hii kero ya mafuriko itaisha! Haya ndo manufaa ya mradi huu wa umeme japo vibaraka wa mabeberu akina zitto na wenzake wanaupinga!

Huwa kuna changamoto kama hii inayoikumba mabwawa ya Mtera na Kidatu ambayo bwawa la Nyerere sijui kama wamejipanga vizuri :

March 12, 2020
Kilombero, Morogoro
Tanzania

Mabwawa ya Mtera na Kidatu ya kuzalisha umeme yazidiwa nguvu na maji

Wananchi waombwa kuhama toka maeneo yao yaliyo karibu na Mto Ruaha Mkuu (Great Ruaha River). Hii inatokana na mvua nyingi kupita kiasi zinazonyesha ktk maeneo yanayotiririsha maji katika mto Ruaha alisema mkuu wa wilaya ya Kilombero alipokutana na wananchi wa Kilombero.

Mkuu wa wilaya ya Kilombero amewataka wananchi kuhama kutoka maeneo hayo hatarishi yaliyoko katika mkondo wa mto huo mkubwa mkoani Morogoro.
Source: ITV Tanzania
 
March 20, 2020
Morogoro, Tanzania

Mto Ruaha wazidi kufurika ktk mkondo wake
Kufuatia mvua kubwa zinazonyesha ktk vyanzo vinavyotema maji ktk mito ya Ruaha na Kilombero hii ndiyo hali mkoani Morogoro
Wananchi makazi yao n mashamba yamezingirwa na maji
MAFURIKO VIJIJI VYA
  1. NYANGE-MBANANO,
  2. KICHANGINI,
  3. MKANYAGENI,
  4. MTULULA NA
  5. MSOLWA STATION.

source : Adelaide Daycare Kilombero
 
Kichaa nani kakuloga tena?
Mwendo kasi hadi kibaha! Ubungo interchange! SGR mpaka Dodoma, daraja la masaki hadi posta kupitia baharini, daraja LA busisi mwanza 3.5km kupitia ziwa Victoria, elimu bure, masoko ya kisasa Dar (magomeni, tememe, machinjio),

Makazi mapya ya askari magereza na polisi nchi nzima, mahospitali, na zahanati mpya, hostel za wanafuzi UDSM, umeme hadi vijijini wa REA, n.k, n.k. ANAYEMLAANI RAIS DR. JOHN POMBE MAGUFULI NI PUNGUANI NA KICHAA NA TAYARI ANAKUWA AMELAANIWA!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maana hii Avatar ilimiminiwa pyuuu! Pyuuuu! za kutosha kibaraka wa mabeberu na mapandikizi yake kama hili!
D-86Nv3WwAA3ihc-1.jpg

Kwa hiyo unayafurahia haya
 
March 20, 2020
Kidatu, Morogoro

Waziri Mh. Engineer Isack Kamwelwe afika Kidatu mkoani Morogoro, Tanzania kukagua madaraja yanayovuka mto Ruaha Mkuu. Hakika maji ya mto Ruaha Mkuu yamejaa na kupita kwa kasi kubwa hivyo inatakiwa kuwepo na uangalizi wa karibu na mpango mkakati iwapo kutatokea changamoto kubwa

Back
Top Bottom