Magufuli analeta mvua ya mafuriko ,ndiyo analeta matetemeko ,ndiyo analeta njaa, ndiyo analeta kila lililo baya / yaani ukifikia akili za kise****ge namna hii ujue umeishiwa kweli vitu vywa asili mbowe ndiyo ataweza kuzuia? mafuliko mbowe atazuia?Huu utawala wa Magufuli umefeli huu ndio mwaka wa kuwaondolea mbali na mikosi yao
Chagua Tundu Lissu 2020
Povu halisaidii tusaidiane kuuondoa utawala huu wenye mkosi na nuksi mbalimbalimagufuli analeta mvua ya mafuriko ,ndiyo analeta matetemeko ,ndiyo analeta njaa, ndiyo analeta kila lililo baya / yaani ukifikia akili za kise****ge namna hii ujue umeishiwa kweli vitu vywa asili mbowe ndiyo ataweza kuzuia? mafuliko mbowe atazuia? acheni ufala mwacheni jpm afanye kazi ambayo hamuwezi kuifanya hata akija na huyo shoga wenu wa aliyekimbilia ulaya acheni ufala
Ndo maana hii Avatar ilimiminiwa pyuuu! Pyuuuu! za kutosha kibaraka wa mabeberu na mapandikizi yake kama hili!Povu halisaidii tusaidiane kuuondoa utawala huu wenye mkosi na nuksi mbalimbali
Wapambane na hali yao. Serikali ya awamu ya 5 haileti mafurikoMarch 18, 2020
LIVE: MAFURIKO RUFIJI | WANANCHI WANAVYOMLILIA JPM
Wananchi wa Rufiji mkoani Pwani waamua kujitokeza baada ya kuona hakuna hatua za dhati za viongozi wa maeneo yao kuifahamisha serikali kuu kuchukua majukumu kuwasaidia.
Serikali ya CCM Mpya vilio hivi vya wana Rufiji visifunikwe ili mbali ya serikali kuu, hata waTanzania wenye moyo wa kujitolea wafahamishwe hali hii tete ili kuweza kuwanusuru na kuwahifadhi waTanzania wenzao.
Source: Jamvi online TV
Hayo maji c wayapeleke stiglers
Bonde la nyerere likianza kuzalisha umeme hii kero ya mafuriko itaisha! Haya ndo manufaa ya mradi huu wa umeme japo vibaraka wa mabeberu akina zitto na wenzake wanaupinga!
Hamumuwezi Lissu mumeishia kuvuna aibuNdo maana hii Avatar ilimiminiwa pyuuu! Pyuuuu! za kutosha kibaraka wa mabeberu na mapandikizi yake kama hili!
Mwendo kasi hadi kibaha! Ubungo interchange! SGR mpaka Dodoma, daraja la masaki hadi posta kupitia baharini, daraja LA busisi mwanza 3.5km kupitia ziwa Victoria, elimu bure, masoko ya kisasa Dar (magomeni, tememe, machinjio),
Makazi mapya ya askari magereza na polisi nchi nzima, mahospitali, na zahanati mpya, hostel za wanafuzi UDSM, umeme hadi vijijini wa REA, n.k, n.k. ANAYEMLAANI RAIS DR. JOHN POMBE MAGUFULI NI PUNGUANI NA KICHAA NA TAYARI ANAKUWA AMELAANIWA!
Ndo maana hii Avatar ilimiminiwa pyuuu! Pyuuuu! za kutosha kibaraka wa mabeberu na mapandikizi yake kama hili!