simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,792
- 9,724
Mwandishi ni muongo..Biblia inasema:Maji yalizidi juu ya mlima mrefu(Mt Everest?) kwa dhiraa 15(mita 7) (Mwanzo 7:20)
Ilikufunika hadi kilele cha Everest dunia ingehitaji maji ya ziada kiasi cha takribani kilomita za ujazo bilioni 4.5 mara tatu ya maji yote yaliyopo kwenye bahari sasa.
Changamoto iliyopo hakuna chanzo kinachojulikana cha maji haya yote, wala sehemu ambapo maji hayo yangeenda baada ya mafuriko kumalizika.
Naomba mwongozo wa wana elimu.
Nadhani mafuriko yalikuwa "local event"- eneo dogo na siyo dunia nzima .Hapo kidogo inaingia akilini.Njia za Mungu azichunguziki, kwa fikra za kibinadamu jibu huwezi kulipata.
Aweke na tot 1 ya nyagi kila glassUmekula?
Mambo ya mafuriko ya nini sasa hivi jombaa
Nenda kwa mangi hapo kamata Balimi mbili baridi utafakari maisha
Nakazia kikongo😀unia Muzima!Nadhani mafuriko yalikuwa "local event"- eneo dogo na siyo dunia nzima .Hapo kidogo inaingia akilini.
Umesoma tu kidogo ukaja kuandika ukisoma zaidi biblia inaeleza ni wapi maji yalitoka na wapi yalienda chanzo hakikuwa mvua pekeyakeBiblia inasema:Maji yalizidi juu ya mlima mrefu(Mt Everest?) kwa dhiraa 15(mita 7) (Mwanzo 7:20)
Ilikufunika hadi kilele cha Everest dunia ingehitaji maji ya ziada kiasi cha takribani kilomita za ujazo bilioni 4.5 mara tatu ya maji yote yaliyopo kwenye bahari sasa.
Changamoto iliyopo hakuna chanzo kinachojulikana cha maji haya yote, wala sehemu ambapo maji hayo yangeenda baada ya mafuriko kumalizika.
Naomba mwongozo wa wana elimu.
Mwandishi ni muongo au tafsiri yetu ya tukio siyo sahihi?Mwandishi ni muongo..
Ukichambua kwa kina kwenye hivi vitabu uongo ni mwingi sana...
Tupe maelezo zaidi kwa faida ya Umma.Umesoma tu kidogo ukaja kuandika ukisoma zaidi biblia inaeleza ni wapi maji yalitoka na wapi yalienda chanzo hakikuwa mvua pekeyake
Si ndio hizo hadithi unaambiwa watu walitembea miaka 40 kwenda nchi ya ahadi, watu wenyewe walikuwa wakitokea Egypt kuelekea Israel... Egypt na Israel ni kama Tanzania na Kenya..Mwandishi ni muongo au tafsiri yetu ya tukio siyo sahihi?
Biblia imesema ukosefu wa imani na mamalalamiko kibao ndio sabu ya Mungu kuwaadhibu wana israel adhabu ya "kuzurula jangwani miaka 40"Si ndio hizo hadithi unaambiwa watu walitembea miaka 40 kwenda nchi ya ahadi, watu wenyewe walikuwa wakitokea Egypt kuelekea Israel... Egypt na Israel ni kama Tanzania na Kenya..
Kuna vingi ukijiuliza hupati majibu...
Hizo ni fiction za uongo na kweli ngoja nikupe kisa...Biblia imesema ukosefu wa imani na mamalalamiko kibao ndio sabu ya Mungu kuwaadhibu wana israel adhabu ya "kuzurula jangwani miaka 40"
Dunia nzima haiwezi kujaa maji?Nadhani mafuriko yalikuwa "local event"- eneo dogo na siyo dunia nzima .Hapo kidogo inaingia akilini.
Inawezekana.Watu wa kale walijua Dunia nzima kwa maeneo waliyoyafahamu kiutawalaNadhani mafuriko yalikuwa "local event"- eneo dogo na siyo dunia nzima .Hapo kidogo inaingia akilini.
Hahaha nimecheka kama zwazwaz jombaaUmekula?
Mambo ya mafuriko ya nini sasa hivi jombaa
Nenda kwa mangi hapo kamata Balimi mbili baridi utafakari maisha