samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,233
Mkuuu wivu wivu hasira Simba Bingwa huwezi kushindana nayoile haikuwa na namna lengo ni kushindana na Yanga eti,maonesho yooote ni kujisumbua kushindana na Yanga,lililokuwa linawakaanga na kuwakereketa moyoni na mashabiki wao.wao Yanga wala hawana presha.hongereni simba kwa jezi za njano mchanganyiko vizibao
Ha ha ha ha ha Hakuna Rangi inaitwa Damu ya Mzee... ni kulazimisha tu ile ni NyekunduUna matatizo ya Color blindness, unashindwa kutofautisha Orange na Njano
Huwezi kuwa mbele ukashindana na wanyuma! Ulitaka kusema nini?ile haikuwa na namna lengo ni kushindana na Yanga eti,maonesho yooote ni kujisumbua kushindana na Yanga,lililokuwa linawakaanga na kuwakereketa moyoni na mashabiki wao.wao Yanga wala hawana presha.hongereni simba kwa jezi za njano mchanganyiko vizibao
ile haikuwa na namna lengo ni kushindana na Yanga eti,maonesho yooote ni kujisumbua kushindana na Yanga,lililokuwa linawakaanga na kuwakereketa moyoni na mashabiki wao.wao Yanga wala hawana presha.hongereni simba kwa jezi za njano mchanganyiko vizibao