samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,233
ile haikuwa na namna lengo ni kushindana na Yanga eti,maonesho yooote ni kujisumbua kushindana na Yanga,lililokuwa linawakaanga na kuwakereketa moyoni na mashabiki wao.wao Yanga wala hawana presha.hongereni simba kwa jezi za njano mchanganyiko vizibao