GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ni Mkoa Mmoja tu Tanzania nzima ambao una Majengo mazuri, umepangika vizuri hauna hatari na Mafuriko ambao ni wa Mara ( Musoma ) Nimekuwa nikiangalia Picha mbalimbali za Mafuriko ya Mkoani Kagera yaliyosababishwa na Mto Kanoni Kufurika na Kugundua ya kwamba kumbe wana Kagera ( Wahaya ) wanatakiwa kufanya haraka sana kuja Mkoani Mara ( Musoma ) ili wajifunze jinsi ya Kuujenga Mkoa wao huo ili usiendelee Kutia aibu kwa Tanzania nzima.
Kwa utafiti uliofanywa hivi karibuni imegundulika kwamba Mkoa ambao utakuja Kukua na unaendelea Kukua kwa Kasi huku ukiutishia Mkoa wa Dar es Salaam Kimaendeleo basi ni Mkoa wa Mara ( Musoma ) huku Mikoa ambayo imeonekana itazidi Kuwa chini Kimaendeleo hadi Kimiundombinu na kwamba Mafuriko na Magonjwa mbalimbali ya Milipuko / Kuambukiza hayatapungua Kwao ni Mikoa ya Kagera, Singida, Kigoma, Dodoma hasa kule wa Warangi na Mwanza Ukerewe hasa kule wa Wakara.
Karibuni sana Mkoani Mara ( Musoma )
GENTAMYCINE napenda Kuchukua fursa hii Kubwa kabisa ya kuwapa Pole zangu za dhati kabisa wana Mkoa wa Kagera ( Bukoba ) wote kwa Mafuriko makubwa yaliyowapata kuanzia Juzi na Jana na nina Imani Mwenyezi Mungu atawapa Unafuu na Kuwaponya wale Wote walioathirika huku nikiwa na Imani Kubwa kuwa Mamlaka husika nazo zitafanya Majukumu yao vyema kuweza Kuwaokoa na Kuwasiadia hawa Watanzania wenzetu huko Mkoani Kagera ( Bukoba )
Tupo pamoja katika Kipindi hiki Kigumu mnachokipitia. Poleni sana / mno. Nawapenda na tunawapenda.
Nawasilisha.