Mafuriko ya Mkoani Kagera ( Bukoba ) yazidi Kuonyesha ' Umasikini ' mkubwa na Uvivu wa wenye Mkoa Kwa Kuujenga

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Ni Mkoa Mmoja tu Tanzania nzima ambao una Majengo mazuri, umepangika vizuri hauna hatari na Mafuriko ambao ni wa Mara ( Musoma ) Nimekuwa nikiangalia Picha mbalimbali za Mafuriko ya Mkoani Kagera yaliyosababishwa na Mto Kanoni Kufurika na Kugundua ya kwamba kumbe wana Kagera ( Wahaya ) wanatakiwa kufanya haraka sana kuja Mkoani Mara ( Musoma ) ili wajifunze jinsi ya Kuujenga Mkoa wao huo ili usiendelee Kutia aibu kwa Tanzania nzima.

Kwa utafiti uliofanywa hivi karibuni imegundulika kwamba Mkoa ambao utakuja Kukua na unaendelea Kukua kwa Kasi huku ukiutishia Mkoa wa Dar es Salaam Kimaendeleo basi ni Mkoa wa Mara ( Musoma ) huku Mikoa ambayo imeonekana itazidi Kuwa chini Kimaendeleo hadi Kimiundombinu na kwamba Mafuriko na Magonjwa mbalimbali ya Milipuko / Kuambukiza hayatapungua Kwao ni Mikoa ya Kagera, Singida, Kigoma, Dodoma hasa kule wa Warangi na Mwanza Ukerewe hasa kule wa Wakara.

Karibuni sana Mkoani Mara ( Musoma )

GENTAMYCINE napenda Kuchukua fursa hii Kubwa kabisa ya kuwapa Pole zangu za dhati kabisa wana Mkoa wa Kagera ( Bukoba ) wote kwa Mafuriko makubwa yaliyowapata kuanzia Juzi na Jana na nina Imani Mwenyezi Mungu atawapa Unafuu na Kuwaponya wale Wote walioathirika huku nikiwa na Imani Kubwa kuwa Mamlaka husika nazo zitafanya Majukumu yao vyema kuweza Kuwaokoa na Kuwasiadia hawa Watanzania wenzetu huko Mkoani Kagera ( Bukoba )

Tupo pamoja katika Kipindi hiki Kigumu mnachokipitia. Poleni sana / mno. Nawapenda na tunawapenda.

Nawasilisha.
 
instanbul Ila bukoba mnaaibisha,Yan mmeshindwa kujenga hata mifereji ya kuondoa maji? Hamna mipango miji? Hamna master plan? Mje Moshi tuwafundshe master plan ndugu zangu
ALAFU BUKOBA KUMECHAKAA HATARI HADI NYUMBA ZA MABANZI MJIN?
Jurrasic ParkView attachment 1109754
FB_IMG_15589769017708371.jpeg
 
Mtani wangu wa Kihaya umeanza lini tena kuwa Muongo hivi? Hiyo Nyumba si ipo Mbezi Beach? Kwahiyo Siku hizi Kagera nayo imekuwa Mbezi Beach? Labda kwa Kukusaidia tu ni kwamba Nyumba kama hizi zipo nyingi sana Mkoani Mara ( Musoma ) tena Vijijini kabisa achilia mbali maeneo ya Mjini.
 
Leta picha za mara musoma mtani.
Vip mbezi beach hmafuriko yametokea linirrh
I'm uhayani ki
Hii ni mitaa ya kasarani,linaz na miembeni Bukoba mjini
Immune j unijibu the uhhi hit hii u

Ujue Tu ok by he bkuntil you be by in the UK UT u uh uhView attachment 1110163
63dffg.jpeg
 
Mtani wangu wa Kihaya umeanza lini tena kuwa Muongo hivi? Hiyo Nyumba si ipo Mbezi Beach? Kwahiyo Siku hizi Kagera nayo imekuwa Mbezi Beach? Labda kwa Kukusaidia tu ni kwamba Nyumba kama hizi zipo nyingi sana Mkoani Mara ( Musoma ) tena Vijijini kabisa achilia mbali maeneo ya Mjini.
Siku mkipata vijiji kama hiv unitag
Ruge%20Bukoba.jpeg
 
Ni Mkoa Mmoja tu Tanzania nzima ambao una Majengo mazuri, umepangika vizuri hauna hatari na Mafuriko ambao ni wa Mara ( Musoma ) Nimekuwa nikiangalia Picha mbalimbali za Mafuriko ya Mkoani Kagera yaliyosababishwa na Mto Kanoni Kufurika na Kugundua ya kwamba kumbe wana Kagera ( Wahaya ) wanatakiwa kufanya haraka sana kuja Mkoani Mara ( Musoma ) ili wajifunze jinsi ya Kuujenga Mkoa wao huo ili usiendelee Kutia aibu kwa Tanzania nzima.

Kwa utafiti uliofanywa hivi karibuni imegundulika kwamba Mkoa ambao utakuja Kukua na unaendelea Kukua kwa Kasi huku ukiutishia Mkoa wa Dar es Salaam Kimaendeleo basi ni Mkoa wa Mara ( Musoma ) huku Mikoa ambayo imeonekana itazidi Kuwa chini Kimaendeleo hadi Kimiundombinu na kwamba Mafuriko na Magonjwa mbalimbali ya Milipuko / Kuambukiza hayatapungua Kwao ni Mikoa ya Kagera, Singida, Kigoma, Dodoma hasa kule wa Warangi na Mwanza Ukerewe hasa kule wa Wakara.

Karibuni sana Mkoani Mara ( Musoma )

GENTAMYCINE napenda Kuchukua fursa hii Kubwa kabisa ya kuwapa Pole zangu za dhati kabisa wana Mkoa wa Kagera ( Bukoba ) wote kwa Mafuriko makubwa yaliyowapata kuanzia Juzi na Jana na nina Imani Mwenyezi Mungu atawapa Unafuu na Kuwaponya wale Wote walioathirika huku nikiwa na Imani Kubwa kuwa Mamlaka husika nazo zitafanya Majukumu yao vyema kuweza Kuwaokoa na Kuwasiadia hawa Watanzania wenzetu huko Mkoani Kagera ( Bukoba )

Tupo pamoja katika Kipindi hiki Kigumu mnachokipitia. Poleni sana / mno. Nawapenda na tunawapenda.

Nawasilisha.
Wasira umeongea sasa[emoji108][emoji119]
 
Back
Top Bottom