Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,059
- 15,534
Wapi? Na nani?Haya yamesha tabiriwa!
Matthew 24, by Jesus christ!Wapi? Na nani?
Acha ubwege, uzembe, ujinga, uzwazwa.Licha ya migogoro ya kijamii iliyotokea hapo awali, mashirika makubwa ya misaada ya Kiislamu kama vile Islamic Relief, Muslim Aid, na Muslim Response USA yamekuwa mstari wa mbele kuchangisha fedha na kupeleka misaada ya kibinadamu (chakula, malazi, na maji safi) kwa waathirika wote wa mafuriko nchini Nepal bila ubaguzi wa kidini.
lakini watu wengi wanadhani chanzo cha mafuriko hayo ni ghadhabu ya KiMungu baada ya waislam kugukuzwa, kuchomwa kwa nyumba na vitabu vya dini.
hii ina ukweli gani?
kobazi wakiwa kwenye Vijiwe vya alkasus.ni ghadhabu ya KiMungu baada ya waislam kugukuzwa, kuchomwa kwa nyumba na vitabu vya dini.
Nepal haijawah kufukuza waislam Achen akili ndogo. Ilikuwa ni Mynamar. kabila lake Rohingya ambao Wana dai ni wabangladeshLicha ya migogoro ya kijamii iliyotokea hapo awali, mashirika makubwa ya misaada ya Kiislamu kama vile Islamic Relief, Muslim Aid, na Muslim Response USA yamekuwa mstari wa mbele kuchangisha fedha na kupeleka misaada ya kibinadamu (chakula, malazi, na maji safi) kwa waathirika wote wa mafuriko nchini Nepal bila ubaguzi wa kidini.
lakini watu wengi wanadhani chanzo cha mafuriko hayo ni ghadhabu ya KiMungu baada ya waislam kugukuzwa, kuchomwa kwa nyumba na vitabu vya dini.
hii ina ukweli gani?
Sasa unashangaa haya ulishawahi kusikia kuhusu mafuriko yaliyowaangamiza watu wa Nuh?kama huyo mungu wenu kaamua kuua watu kwa stahili hiyo baada ya kupandwa na ghadhabu basi atakuwa hamnazo!
Fatilia kinachofanywa na hao watu wa dini ya mabudha dhidi ya waislamNepal haijawah kufukuza waislam Achen akili ndogo. Ilikuwa ni Mynamar. kabila lake Rohingya ambao Wana dai ni wabangladesh
sio wanepal sasa na jamaa kwanza hawapigi waislam kama dini ila hiyo jamii ya warohingya. na sababu ni kuwa wanadai ni wageni kutoka Bangladesh walikuja wakakaa then wamezaliana so wanahis jamaa wanachukua utamaduni wao. mzee ukipata muda muwe pia mnasafir sio kulishwa stor tu. na hayo maeneo japokuwa mabudha ni wengi kuna dini nyingi. shida ni kabila mzee sio dini maana ukienda kila mahali ndan ya hizo nchi wapo waislam kwanini hapo tu. kuua sio jambo zur lakin kuunasibisha mauaji na dini ni ungese kama mwingine.Fatilia kinachofanywa na hao watu wa dini ya mabudha dhidi ya waislam
kwa asilimia kubwa ninaweza kuwa ivyo coz yale mafuriko si ya kawaida hata kidogo,yanatisha hata kuyatazama kwenye cm au tv sipati picha waliokuwa wanayaona liveLicha ya migogoro ya kijamii iliyotokea hapo awali, mashirika makubwa ya misaada ya Kiislamu kama vile Islamic Relief, Muslim Aid, na Muslim Response USA yamekuwa mstari wa mbele kuchangisha fedha na kupeleka misaada ya kibinadamu (chakula, malazi, na maji safi) kwa waathirika wote wa mafuriko nchini Nepal bila ubaguzi wa kidini.
lakini watu wengi wanadhani chanzo cha mafuriko hayo ni ghadhabu ya KiMungu baada ya waislam kugukuzwa, kuchomwa kwa nyumba na vitabu vya dini.
hii ina ukweli gani?