Mafuriko ya SGR: Shabiby & Abood wakimbilia route za Tanga, Tunduma

Mafuriko ya SGR: Shabiby & Abood wakimbilia route za Tanga, Tunduma

Sahv abood pia ana route ya Tarime- Dodoma
Kimotoco pia Tarime- Arusha -Moshi
 
Makada wa CCM wameamua kwenda na wakati kwa kuvumbua fursa za route mpya.
1741519714037.jpeg

1741519805444.jpeg
 
Safari hii tutapata mpaka ruti ya Kipatimu to Kakonko... Mwanzo mpaka mwisho wa safari ni siku nne... Njiani..
 
Labda kwa root za Dar-Dom!
Lakini kwa root za mbali bado yanapiga kazi kama kawaida!
Bukoba,Mwanza,Mbeya,nk
 
Back
Top Bottom