Mafuriko ya vitunguu yaanza kwa kasi

Mafuriko ya vitunguu yaanza kwa kasi

Kenya inaipa Tanzania soko kubwa LA vyakula lakini watanzania naona hawadhamini ule uhusiano, wanawadharau wakenya sana. Imemfaidi vipi magufuli kufunga biashara ya kuuza bidhaa za shamba nje ? Anawatesa wakulima tu!!
wewe [emoji35] watch your language pumbavu sana

hawadhamini au hawathamini?!
 
nadhani serikali ingetoa vibali na leseni ilo iwe rahisi kwa wakulima kupiga deals za kuuza mazao mipakani na kulipa ushuru.
 
Am nat sure if yu know exactly kitu unaongea ,,,,!!! may yu tell me ...!!! wat factors which subject thic county in a risk 4 losing customers to a competitor???

Is that a natural factor that comes automatically without being suppressed by hard working 2 produce quality products???

As long as i know A business man has 50% of winning in a market thru quality only,,, other factors may contribute yur remaining 50%,, now where is yur 50% at hand????

nkikuuliza hata una product gan ambayo iko kwenye standards za kimataifa ikashindwa ku compete in the market due to that factor of yurz??? nambie ulisindika nini nakuja ulipo kukichukua nakifanyia market mwezi hautapita ntakuja ulipo popote pale hata KANTALAMBA ntafika,,............!!!!!

Iv ninyi watu mnajua kua thic easly accessible East African market has >150mill people,, ambao tuchukulie almost kila 3 indiviadual in 150mill anahitaji kitunguu zaid ya kimoja per day,, its almost 50mill onions in number per day. nambie ni nani au ni kampuni gan imesaturate thic market already kwa kitunguu?? ama unambie how many companies are saturating this market 4 the processed onions?? how much does it cost to process?? Tena kwa kitunguu kuna advantage kibao processing,, kitunguu kimejaa complications kukikata hadi ulie kwanza,, y can't yo solve it in a better way???

Kuna industrial product nyingi ajabu za kitunguu,,, had UNGA (spices) za kitunguu...!!!!! ACHENI KULIALIA........!!!!

OOh ety Magu amebana kuvusha nje, tafuta njia alternative ya kukivusha kiende nje,,, usikute unaelalamika ata gunia 100 hujafkisha,, pumbavu !! Uza ndani,, unaenda kuleta fujo tu kwenye nchi za watu, nchi gani isiyopenda kulinda wakulima wao wa ndani? kwan wao ndo hawataki wakulima wao wa kitunguu wafaidike?? kiherehere cha kuvusha na wew uonekane unafanya international business ,,Hata kama ngekua mimi ungeuza ndan hadi ujue neno Food Preservation ni nini kwenye kichwa chako,,,,,

Jiulize kwan serikali ya TZ ingefumbia macho wakenya kuleta shehena za vitunguu TZ???

hakuna atakuzuiya kuvusha chakula kilichosindikwa,,, nambie nani na utoe ushahidi,, Ndo mana NJAA inatuandama kila kukicha,, tunavuna chakula we keep it in Sucks akati hata Wadudu wenyewe wanategemea icho chakula iv kweli watakuachia?? we nani kwan?? Wanakuogopa kwan?? umewapa nini??

Hili ni POVU kwa wale wavivu wanaolialia mara MAGU KABANA, mara LIFE TIGHT ; Hakuna politcian atakulisha chakula mdomoni, Na mi nasema abane zaid ya Hapa tunyooke.......,, WORK !!!!!!!!!!! PUMBAVUUUUUUUUUUUUUUUUU....!!!!!!!

CHANGE YUR MENTALITY CHANGE OUR COUNTRY..!!

all these images below are some of onions preservation.... nambie unashindwa nn to do that.....
 
Attachments

  • Funyuns.jpg
    Funyuns.jpg
    7.2 KB · Views: 35
  • untitled-61.jpg
    untitled-61.jpg
    30.6 KB · Views: 35
Eti kweli serikali imuzuia exportation vitunguu? Aisee mkulima" kantiwa" jiti tena.
 
Am nat sure if yu know exactly kitu unaongea ,,,,!!! may yu tell me ...!!! wat factors which subject thic county in a risk 4 losing customers to a competitor???

Is that a natural factor that comes automatically without being suppressed by hard working 2 produce quality products???

As long as i know A business man has 50% of winning in a market thru quality only,,, other factors may contribute yur remaining 50%,, now where is yur 50% at hand????

nkikuuliza hata una product gan ambayo iko kwenye standards za kimataifa ikashindwa ku compete in the market due to that factor of yurz??? nambie ulisindika nini nakuja ulipo kukichukua nakifanyia market mwezi hautapita ntakuja ulipo popote pale hata KANTALAMBA ntafika,,............!!!!!
DAAAA SIO KWA POVU HII. NI KWAMBA KWA UJUMLA TU SISI NI HIGH COST PRODUCERS WA KARIBU KILA KITU KATIKA MAZINGIRA TULIYONAYO SASA. TUMEZUNGUKWA SANA NA BIDHAA ZA NJE AMBAZO KWA KIASI KIKUBWA ZINATOKA KATIKA NCHI AMBAZO NI LOW COST PRODUCERS WA BIDHAA HUSIKA. IN THE SHORT-RUN NI NGUMU KUPAMBANA SOKONI. LABDA IN THE VERY LONG RUN. KWA SASA MIMI NADHANI TUJITAHIDI KUTAFUTA ASOKO SAHIHI YA FRESH PRODUCTS, PIA TUZALISHE BIDHAA HIZO KWA VIWANGO VYA KIMATAIFA
 
Hivyo ulivyoweka hapo kwa ungo huku tunaita "KWASU" ama makapi!

Kwahyo bei sawa kabisa mkuu maana hayo nimasalia baada ya kitunguu kizuri kuisha
 
DAAAA SIO KWA POVU HII. NI KWAMBA KWA UJUMLA TU SISI NI HIGH COST PRODUCERS WA KARIBU KILA KITU KATIKA MAZINGIRA TULIYONAYO SASA. TUMEZUNGUKWA SANA NA BIDHAA ZA NJE AMBAZO KWA KIASI KIKUBWA ZINATOKA KATIKA NCHI AMBAZO NI LOW COST PRODUCERS WA BIDHAA HUSIKA. IN THE SHORT-RUN NI NGUMU KUPAMBANA SOKONI. LABDA IN THE VERY LONG RUN. KWA SASA MIMI NADHANI TUJITAHIDI KUTAFUTA ASOKO SAHIHI YA FRESH PRODUCTS, PIA TUZALISHE BIDHAA HIZO KWA VIWANGO VYA KIMATAIFA

i still believe yu r afraid to set yur foot in buzness,,, step on it everything must work,,, mbn mi sizioni ss izo bidhaa unazosema zimetuzunguka??? ebu nambie how many onion products are in TZ supermarkets?? nambie ukienda kila mkoa in TZ utakuta izo prodcts??? ss unacompete na nan apo??? yu r competing wc yur fear Brou..!!!
 
Duh. . Nilikuwa nataka kujikita kwenye kilimo hiki. .naogopa maana zao lenyewe sijui kama unaweza kuhifadhi ghalani
Unaweza kuhifadhi.
Mimi mwenyewe nimehifadhi Kama gunia 100
 
Kenya inaipa Tanzania soko kubwa LA vyakula lakini watanzania naona hawadhamini ule uhusiano, wanawadharau wakenya sana. Imemfaidi vipi magufuli kufunga biashara ya kuuza bidhaa za shamba nje ? Anawatesa wakulima tu!!
Defensive mechanism dhidi ya balaa LA njaa hakuna exports ya kitu chochote kinachohusiana na chakula...sooo vitunguu tutakaanga tulee au[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
DAAAA SIO KWA POVU HII. NI KWAMBA KWA UJUMLA TU SISI NI HIGH COST PRODUCERS WA KARIBU KILA KITU KATIKA MAZINGIRA TULIYONAYO SASA. TUMEZUNGUKWA SANA NA BIDHAA ZA NJE AMBAZO KWA KIASI KIKUBWA ZINATOKA KATIKA NCHI AMBAZO NI LOW COST PRODUCERS WA BIDHAA HUSIKA. IN THE SHORT-RUN NI NGUMU KUPAMBANA SOKONI. LABDA IN THE VERY LONG RUN. KWA SASA MIMI NADHANI TUJITAHIDI KUTAFUTA ASOKO SAHIHI YA FRESH PRODUCTS, PIA TUZALISHE BIDHAA HIZO KWA VIWANGO VYA KIMATAIFA

hakuna mtu mwoga ka wew na hutaki kutoka huko...!!!! fanya kaz kijana acha uvivu na kujitetea
 
Attachments

  • 15283990_10154771920823350_7514543872715038635_n.jpg
    15283990_10154771920823350_7514543872715038635_n.jpg
    79.7 KB · Views: 38
hakuna mtu mwoga ka wew na hutaki kutoka huko...!!!! fanya kaz kijana acha uvivu na kujitetea
UNANIONEA TU. MIMI MSIJASEMA TUSIFANYE KAZI. NIMESEMA TUZALISHE BIDHAA ZINAZOUZIKA ZIKIWA FRESH ILI IWE RAHISI KUWIN MASOKO. MIMI NAZALISHA BIDHAA NA KUWAUZIA WANAOUZA ULAYA NA MAREKANI NA UARABUNI. KUZALISHA MIKATE HAPA ETI KUUZA ULAYA NA MAREKANI, SAHAU
 
Si kweli kwamba vitunguu haviruhusiwi kuuzwa Kenya na kinacho zuiwa ni nafaka pekee. Iko hivi kwa sasa Hata Kenya wanazalisha mno vitunguu, hata kuchukua Man'gora kule karatu kumepungua sana
 
Eeenh, ndo mkome kuuza raw,,, sindika,,, shda iko wapi??? unalima miaka 3+ bado uko kwenye raw??
Na mi nasema vishuke tu had tununue kitunguu kwa centi
Naamini kabisa wewe unaupungufu wa uelewa na ufikiri.. kabla haijafikia huko wakulima watakua wameenda kulima mazao yanayoweza kukaa ghalani hata kwa miaka mitano alafu haya perishable mtatafutana nayo huko masokoni.
 
Back
Top Bottom