BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Mipango, #AhsanIqbal inasema makadirio ya awali yanaonesha mafuriko makubwa yaliyoikumba nchi hiyo, yamesababisha uharibifu wa karibu Tsh. Trilioni 23.
Tayari Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limetoa msaada wa Tsh. Trilioni 2.5 kwaajili ya kukabiliana na madhara ya mafuriko hayo ambayo kwa mujibu wa Serikali, theluthi moja nchi imeharibiwa vibaya.
Mvua za Masika zinazonyesha zimesababisha vifo vya watu 1,136 na kuathiri maisha ya watu milioni 33 ambayo ni zaidi ya 15% ya idadi ya watu nchini humo, pia zimesomba Barabara, Mazao, Nyumba, Madaraja na miundombinu mingine.
-------------------------------
Pakistan's planning minister says early estimates show the devastating floods to hit the country have caused at least $10bn (£8.5bn) of damage.
His comment comes as another government minister said that one-third of the South Asian nation has been submerged.
Separately on Monday, Pakistan received a $1.1bn bailout from the International Monetary Fund (IMF).
That money is aimed to help the cash-strapped economy avoid defaulting on its debts.
The unprecedented flash floods caused by historic monsoon rains have killed at least 1,136 people and affected more than 33 million, over 15% of the country's population.
The torrential rains have also washed away roads, crops, homes, bridges and other infrastructure.
BBC