Mafuriko yaizengea nyumba mpya ya Diamond Tegeta

Mafuriko yaizengea nyumba mpya ya Diamond Tegeta

Kwahiyo ni vizuri kujenga nyumba kwenye mkondo wa maji kisa tu una bima? Hahahahahaa.
Kijana kazoea mafuriko kama huko kwao tandale.

Anayetoa bima bila kufata yanayotakiwa basi ni mburulaz. Maneno tumezoea juu ya D so sio kitu cha kwanza maji kutofata mwelekeo wake na kutafuta pakukonea kupita

Hivyo haimaanishi pale ni mkondo wa maji.
 
Hahahaha hivi ile sheria ishasainiwa????

Global siku hizi wanashinda insta...wanapataje habari motomoto sasa

Hii wametengeneza wangetaka kama la ukweli wangetaja majina ya waliosema, ili habari yao isimame.

So hawana jipya zaidi ya kutaka tu kumuongelea vibaya D wauze magazeti na wapate wadaku wasiompenda.
 
Subirini basi siku akiingia maeneo mnayopenda kama Masaki, Obay tutawasikia siku hiyo
 
Anayetoa bima bila kufata yanayotakiwa basi ni mburulaz. Maneno tumezoea juu ya D so sio kitu cha kwanza maji kutofata mwelekeo wake na kutafuta pakukonea kupita

Hivyo haimaanishi pale ni mkondo wa maji.

Nakuuliza tena una ufahamu wowote wa insurance policy? Au unadhani JF ni kijiwe cha machangu?
 
Ah hapo ndio unanimalizaaaa siwajuiiiii! tukutane pande ilee

Hahahahaha, poleeee! Jifunze taratibu unni, subiri nikiicheki hiyo 49 days nitakuambia mastar waliopo nawe uwajue.
 
Anayetoa bima bila kufata yanayotakiwa basi ni mburulaz. Maneno tumezoea juu ya D so sio kitu cha kwanza maji kutofata mwelekeo wake na kutafuta pakukonea kupita

Hivyo haimaanishi pale ni mkondo wa maji.

Wewe mahaba ya D yamekupofua macho hata picha huoni.
Unaambiwa hilo eneo ni mkondo wa maji na domo alibugi kujenga eneo lile.Sio maji yanatafuta pa kutokea bali ile ndio njia yake.
Wakati mwingine ni bora kuubali ukweli bila kupindisha.
 
Yes sikubaliani na wewe sababu ni majirani wamesema

Wangetaka andika habari ya kuaminika wangeenda kwa wapanga mji wawaulize wawajibu na majina yao wayamwage pia.

Mtu kama mimi ni ninu jinifanye niamini ya majirani bubu maana wangekuwepo na majina kutajwa sawa.

Sasa wilaya ipo ina maofisi ya waluopanga viwanja eneo hilo lipi limewashinda kwenda kuhakikisha udaku wao waliojitungia.

Wakiweka ya wasemaji wa wilaya mie nani kusema ni uongo
 
Nakuuliza tena una ufahamu wowote wa insurance policy? Au unadhani JF ni kijiwe cha machangu?

wewe wale machangu wako uliosema wanaota sijui wanachukuliwa kichawi wameacha uchangu, wameshamjua Mungu? unaita mie changu wakati umekua nao ndio unadhani kila mtu hivyo pita njia ingine Mr. Udaku

kama wewe unajua si useme? unajifanya mjuaji unajua nini usixhotaka kusema wazi bali kuuliza maswali

andika basi ufurahie, kazi kuandika andika na maswali. changu ni wewe mdakiaji mjuaji wakili mchosho wa udaku pia.
 
Nakuuliza tena una ufahamu wowote wa insurance policy? Au unadhani JF ni kijiwe cha machangu?

The aim of any Insurance company is to retain you at your financial position after suffering a loss.

Hivi unajua Insurance ni kama Gambling tu?? Unapoenda kukata Insurance ya Basi au Gari lako wanajua kuna ajali au wizi unatokea, where or when is a matter of time. Na kama haitotokea kabisa ni habari njema kwao.. Sikuhizi kuna hadi Travel Insurance unalipa 5,000/= kwa bahati mbaya ukipata ajali ukafariki utalipwa 5,000,000/= na kama majeruhi wanakucompansate kwa matibabu mpaka unapona. Na hata ukienda kipindi hichi cha ajali nyingi hawatakataa elfu tano yako. Isn't that Gambling??

Diamond anaweza akawa alipigwa kwenye kuuziwa kiwanja, na baadae kwa kulitambua hilo na kujua hapo ni mkondo wa maji akaamua kwenda kubargain na brokers. Unafikiri wangekataa?? Na labda walishafanya uchunguzi wao wakajiridhisha it's a good business, pia unataka Insurance wasimlipe?? Au wewe kwenye hizo negotiations zao ulikuwepo??
 
Hivi nyumba ya dimonde ina ulinzi gani nataka nikabebe lile sinki la dhababu😛😛😉
 
Acha ubwege wewe hata sisi wa Dar tunasoma kama wewe kwenye social media, nani mwenye muda mchafu wa kwenda nyumbani kwa mtu?

we jamaa buana kwani hizo habari kwenye social media zinajiandikaga zenyewe?
ha haa haaa kweli akili yako unaijua mwenyewe
 
Back
Top Bottom