Mafuriko yatokea Rudewa Mkoani Morogoro leo Desemba 5, 2023

Nini tena jameni?
Huko wakati wa mvua kubwa lazima kutoke majanga...kuna mto kondoa pia ukizidiwaga maji yaachiaga njia
Ila kwa hapo rudewa kupatwa kwa mafuriko nmeshanga,inawezekana
Njia za kupita maji watu wameziba
Kutokana na ujenzi wa makazi nk

Ova
 
Leo mto mazinyungu umemwaga maji uhindini kote kule hakufai
 
Back
Top Bottom