Huko wakati wa mvua kubwa lazima kutoke majanga...kuna mto kondoa pia ukizidiwaga maji yaachiaga njia
Ila kwa hapo rudewa kupatwa kwa mafuriko nmeshanga,inawezekana
Njia za kupita maji watu wameziba
Kutokana na ujenzi wa makazi nk