jamaa ni kichwa huyu nimefanya nae kazi pale voda... na mpka naondoka pale yule jamaa yuko fiti
sina uhakika kama anapewa cheo kwa kigezo hicho ulichosema mleta mada
Kumekuwa na threads nyingi zinazoonyesha kwamba Mafuru anawekewa njia kuwa CEO wa shirika moja la Umma. Ninachofahamu ni kwamba kama mkuu wa masoko wa Vodacom tulitarajia kuona amefanya kazi nzuri katika ushindani huu wa Mobile services Operators.
Performance ya Vodacom imekuwa ikidorora kutoka mwaka hadi mwaka. Na yafuatayo na matokeo ya Vodacom kwa miaka mitatu kwa faida kabla ya kodi.
Mwaka unaoishia:
31.03.2008 = Shs 54 billion
31.03.2009 = Shs 55 billion
31.03.210= hasara 9 billion
Mafuru ameshindwa kuweka mikakati mahususi ya masoko kuiwezesha vodacom ku- compete na tigO na Zain. Nadhani ameanza kujipendekeza kwa JK ili ahamie kwenye siasa maana pale alipo amekalia kuti kavu.
Kwa kweli hawezi kuleta Tija. Nadhani jambo la msingi ni kwamba akaajiriwe na H Lundega aendelee kumsaidia kusaka vidosho wa miss tz mitaani, namaanisha wale mabinti wanaopenda kuanika mapaja yao nje.
Kijana wa POND kwa mzee wa shamba, muhogo kwa uji!, mwacheni apae. Ni kazi na uwezo wake ndio unamfikisha hapo....msiletee zenu za kifisadi fisadi.
Ephraim Mafuru ,Mkurugenzi wa masoko VODACOM
Jamaa anafaa, lakini ajaribu kuondoa mnato ingawa naamini ni hulka ya kuzaliwa wakati mwingine"
Wana JF kuna hizi tetesi mwenye data kamili atuthibitishie
Lakini akiwezeshwa si anawezaMafuru anaweza kufanya kazi nyingine lakini sio u CEO wa kampuni. kwani kuwa CEO unahijika kuwa kichwa hasa na mwenye vision...tangia aanze kazi pale vodacom hajawa mtu wa maamuzi bali ni mshehereshaji je hilo linatosha kuwa CEO? Pili huyu alipata div 3 PCM pale pond akashindwa kwenda ud direct...alienda kuboresha matokeo CBE ndo akajiunga UD kusoma Bcom.....
huyu si yego , kwani huwajui Yego wewe ?
Mafuru anaweza kufanya kazi nyingine lakini sio u CEO wa kampuni. kwani kuwa CEO unahijika kuwa kichwa hasa na mwenye vision...tangia aanze kazi pale vodacom hajawa mtu wa maamuzi bali ni mshehereshaji je hilo linatosha kuwa CEO? Pili huyu alipata div 3 PCM pale pond akashindwa kwenda ud direct...alienda kuboresha matokeo CBE ndo akajiunga UD kusoma Bcom.....