Chris Kamlenga
Member
- Oct 17, 2017
- 30
- 33
Hayawezi kukulettea majini kama huna majini.Yenyewe huwavuta na kuwasogeza majini ulionao.Wadau Habari zenu,
Naomba kufahamu zaidi kuhusu haya manukato (mafuta) yanayoitwa Bint Sudan ambayo watu tofauti huyatumia kama manukato tu ya kawaida na wengine tiba ya mambo tofauti kama kunuka KIKWAPA, lakini pia wengine hutumia kitaalamu zaidi kwa ajili ya kuondoa Nuksi na Mikosi.
Sasa mimi ninachohitaji kujua, ni kweli kwamba ukiyatumia kwa kujipaka yanaweza kuleta majini kwako au kwa mtu wa karibu yako?
Maana wengine wanayasifia na mengine wanayaponda na kudai yana uhusiano wa karibu sana na majini (mapepo).
Attachments
hapo nimekupataHayawezi kukulettea majini kama huna majini.Yenyewe huwavuta na kuwasogeza majini ulionao.
mimi nimepaka ila baadhi ya wadau ndio wameniambia hivyo,kwahiyo kuja kwangu hapa nilitaka kupata ufafanuzi kwa watu wengi zaidi maana najua kuna wengi wanayajua kuliko mimiTusaidie kwa kufanya research kwa kujipaka kisha uje utupe mrejesho majini mangapi umeyazoa
Swali zuriBei gani kwanza
Nasubiri jibu hapa.Bei gani kwanza
Haizidi elfu 10 kwa mls 10..Aidha, inategemea na eneo unakonunua.Swali zuri
Ndio Majini...Majini?
Anunue ile set kamili kabisa aachane na vitu vya vichupaUpake hayo mafuta mengine hakuna?
Tafuta hayo upake mkuu achana na binti Sudan
Sas mtu anaeda kupaka vinafuta vya ajabu ajabu kaviokota kwa wauza miti shambaAnunue ile set kamili kabisa aachane na vitu vya vichupa
Noma sanaSas mtu anaeda kupaka vinafuta vya ajabu ajabu kaviokota kwa wauza miti shamba