Yako mengi tu Mkuu chaguo ni lako
Machache niyajuayo ni
1.Olive oil (tabia yake huwahi kukauka hivyo lazima umsinge mengi)
2.Rafael Salvador (RF) (Binafsi ndio napendelea haya zaidi)
3.Sweet Almond Oil
4.Apricot kernel oil
5.Jojoba oil
6.Fractionated oil
7.Sesame oil
NB.ya asili napendelea mafuta ya Mnyonyo ni mazuri mno kwa Afya ya misuli japo kero yake mkubwa ni lazima ukisha msinga mwenzio akaoge maana yana nata nata,ila ni mazuri maana yanaondoa kabisa maumivu ya misuli na huteleza vizuri.
Raha ya massage umpate msingaji anayejali na asiye na mpaka ya mwili wako! All the best
Sent using
Jamii Forums mobile app