Mafuta gani mazuri kwa kusinga

aisee miaka kadhaa nyuma nilijifanya mtaalamu wa mitishamba nkalipaka jaramba hayo mafuta,nlikoma.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yanawashaa nini, na ikawaje.
kuna sehemu nilikuta mtu anawahamasisha wadada waweke vitunguu saumu 'ikulu' nikasema ama kweli mchawi sio lazima awe na ungo lol.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
sijui hata nielezeeje maumivu nliyoyapata ni kama uchanganye ule ubaridi wa mint/menthol + itching + burning sensation,alafu inaingia kwwnte ngozi fasta,hata nliponawa haikusaidia,ilikaa kama robo saa hivi ndo ikapoa
 
Aiseeee. .. nimesense maumivu yako.... pole sana. lol

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
vitunguu swaumu vinatibu bacteria ukeni vinatibu muwasho na harufu mbaya sio mchawi mkuu.kitunguu swaumu ni dawa
 
vitunguu swaumu vinatibu bacteria ukeni vinatibu muwasho na harufu mbaya sio mchawi mkuu.kitunguu swaumu ni dawa
Kama kwa kumeza hapo sawa ila huwezi kuviponda ukaweka direct ukeni.... weeee vitunguu saum vinavyowasha ukaweke huko si patashika nguo kuchanika.... hapo bro Titimunda aliweka mafuta ya karafuu shughuli yake akaiona je mwanamke aweke kitunguu saumu itakuaje. lol

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
vinawekwa tu havina shida mkuu
 
Kuna mafuta yanaitwa wonder oil, yametengenezwa kw kutumia mafuta ya Tangawizi na mafuta ya almond.. Ni laini mafuta haya pia yananukia vizuri sana.. Unaweza tumia kufanyia massage, kupaka kama body lotion, kupaka kwenye ngozi ya nyewe na kuogea..

Karibu tuwasiliane ukiyahitaji 0672416294 au 0629273281

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bei zake zikoje ?na yapi yaliyo bora zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natumia mafuta ya asili,ya mti wa mrehani.
Yana harufu nzuri,malaini,yanatibu misuli na harufu yake inaondoa stress.
 
Kwa anaetaka haya mafuta na aniagize, nipo zenji but nategemea kwenye tar 25 kuja Dar, huku sio bei kubwa kama Dar, kwenye 3000 tu, wakati Dar yanafika hadi 4000.

Jamii Forums mobile app
Unamletea bure kama zawadi, anakutumia pesa ndio unamletea au ukishaleta ndio anakupa pesa yako???

Na je utampelekea hadi nyumbani kwake??
Maana nimewaza kwa hiyo tofauti ya buku tu.
Ingekua labda huko ni og dar fake hapo sawa.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Natumia mafuta ya asili,ya mti wa mrehani.
Yana harufu nzuri,malaini,yanatibu misuli na harufu yake inaondoa stress.
Nielekeze yanapatikana wapi.... mrehani ni mti wenye maajabu sana.... sikujua kama kuna mafuta yake.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…